Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana JF, wakati wa kuhitimisha mjadala wa bajeti ya Tanzania sikuweza kufuatilia hivyo sifahamu kama mapendekezo yote yaliyokuwa kwenye hotuba ya bajeti yalipitishwa kuwa sheria. Naomba sana...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Huu mfumo mpya wa serikali kubuni kodi mpya na kisha kusema zitaelekezwa kusaidia sekta fulani za kimaendeleo. Je hii ni ishara ya dhamira ya dhati ya serikali kuelekeza nguvu kwenye matatizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna debate kuhusu suala zima la kodi ya chip ya simu. Mjadala huu kwa bahati mbaya sana umevamiwa na wanasiasa ambao wameamua kuuhijack kwa ajili ya kuvutia kisiasa upande wao. Hata hivyo pengine...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa taarifa kutoka Ileje,Momba na Mbozi zinasema mshutumiwa namba moja wa kutaka kupeleka makao makuu ya mkoa wa Songwe Mkwajuni huko Chunya ni naibu waziri wa elimu na mbunge wa jimbo la Songwe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
LOWASSA AMPONGEZA RAIS DK JAKAYA KIKWETE Mhe.Edward Lowassa Na Swahili TV Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania MheshimiwaEdward Lowassa, amemsifia...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
ndugu wana JF hatua tuliofikia sasa hivi kwenye mchakato wa katiba mpya ni kukutana kwa mabaraza ya katiba na kutoa maoni waliopendekezwa na wananchi kuhusu rasimu ya katiba mpya iliyotolewa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama Tendwa Mungu basi aifute CHADEMA tuone Lula wa Ndali Mwananzela Toleo la 307 17 Jul 2013 HAKUNA ulevi mzuri; ulevi ni ulevi tu. Uwe ulevi wa wanzuki, tembo, ulanzi au konyagi ulevi ni...
8 Reactions
29 Replies
5K Views
CCM wasambaza waraka wao, wapinga rasimu ya Katiba Mpya Wafuasi wa CCM, wakiwa katika moja ya shughuli za chama hicho. Picha ya Maktaba Kwa ufupi CCM imeamua kutumia wanachama wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamati hiyo ilibaini madudu hayo baada ya kukutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Mamlaka ya Bandari (TPA) na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA). Hata hivyo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
http://youtu.be/-HI-PUDZ2fY
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Wananchi ndani ya Mkoa wa Kigoma wamejipagna vilivyo kukitupilia mbali chama cha CCM mwaka wa uchaguzi mkuu 2015 kwani kimeshindwa kutekeleza mipango yake juu ya Mkoa huu tokea enzi zaTANU...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Tuunde sanamu na vinyago, tusifanye usanii katika siasa Raia Mwema Toleo la 302 10 Jul 2013 SANAA ni kipaji ambacho mtu anaweza kuwa nacho kwa kuzaliwa, kusomea ama kuiga kulingana na...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
:yield:SERIKALI IMETANGAZA VITA KATI YAKE NA WAALIMU baada ya kupuuza kuwaongezea mishahara. Wakuu mnalela dharau kwa WAALIMU SIO?sasa subirini muone matokeo ya f4 2013... Waalimu kazi ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Naona tunatumia muda mwingi kusign hizi petition ambazo hazina athari zinazotakiwa. Nilipokuwa masomoni Marekani, nilifundishwa mbinu moja nzuri ya uanaharakati, lakini nawamegeeni hizi...
25 Reactions
180 Replies
15K Views
Kwanini watu wanatoa rushwa ili apate haki yake anayo stahili, Je! Ni uoga ama kutojua haki zake za msingi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ilikua ni siku ya aina yake kwa mkoa wetu wa Singida hususani jimbo la Singida Magharibi baada ya wananchi wengi kufulika kushuhudia kuapishwa kwa diwani mpya wa kata ya Iseke,Emmanuel...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Wana JF inaonekana wazi kwamba sasa Tz inaanza kupezuki kisiasa. Ripoti hii inatupa sisi Wazanizbar burudani masikioni na moyoni mwetu tukijuwa sasa uhuru wetu umekaribia. Nanukuu makala haya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesoma kauli ya Mbowe kama ilivyonukuliwa katika gazeti la Tanzania daima, kwa kweli nimefarijika sana. Na nimejiridhisha kwamba Mbowe ni kiongozi wa ukweli. Maneno haya ya Mbowe, hayawezi...
15 Reactions
62 Replies
6K Views
Hapa alikuwa akimjibu Mh. Andrew Mbunge wa CCM Chenge a.k.a Mzee wa Vijisenti aliyetaka sheria ipindishwe na Bunge ili watu walipwe fidia lakini Kamanda Magufuli alimtolea uvivu Mh. Chenge -...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya uongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kusaini mkataba wenye harufu ya kifisadi kuingiza utaratibu mpya wa kuwatoza wateja gharama ziitwazo 'Cargo Tracking System', uongozi huo leo...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom