Kama mnakumbuka aliyekuwa katbu mkuu wa CCM mzee Yusuph Rajab Makamba aliwah kufanya usajil kutoka CUF akawachukua Shaibu na Tambwe Hiza.
Hawa jamaa ndo waasisi wa siasa za matusi, walisajiliwa...
Nimekuwa nikifuatilia uchaguzi mdogo wa Busanda,ambapo mgombea wa CCM Bi.Lolensia Bukwimba alishinda,kwa mtazamo wangu nilimuona Mh.Bukwimba kama dada,mama yeyote sehemu za mashambani au...
Ni kitendo ambacho siyo kizuri kwa vyama vya siasa kushindwa kuwapa fursa wanasiasa vijana kuweza kufanya kazi za siasa. Ni kitendo cha aibu na ambacho siyo cha kiungwana kwa chama cha siasa...
Jaji wa mahakama kuu kanda ya Tabora Simon Lukerelwa ametoa mzizi wa fitina leo hapa Tabora na kuelekeza mambo kadhaa yafuatwe ili haki itendeke katika kesi ya ugaidi ya kina Kilewo na wenzake ...
HAJAJINYONGA
NYARONYO MWITA KICHEERE
AMEKATA KITANZI CHA MKONGE NA KUKIMBIA.
AKUTWA ARUSHA AKISHANGILIA USHINDI WA CHAMA CHAKE
MWANDISHI: Ndugu NMK ilisemekana umeacha usia kwa wanao...
Baada ya Serikali kuongezea wananchi garama za kodi sh,1000 ktk kila lain ya simu kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa watu na taasisi mbalimbali wakipinga ongezeko hilo na kutaka serikali ifute na...
Kiongozi wa uv-ccm amekamatwa akiwa na bastola kwenye kuto cha kupigia kura cha Butengi huko serengeti, amekamatwa na kina John Heche na amepelekwa kituo cha polisi.
Wakati huo huo vijana...
Katika hotuba yake jana eneo la Ubungo Mh Mnyika alisema mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametangaza kuwa kuanzia Jumatatu July 22 anaanza operesheni maalum ya kuwaondoa Machinga pembeni mwa barabara...
Binafsi kama mpenda mabadiliko niwapongeze CHADEMA sana kwa jitihada wanazofanya kama chama cha siasa katika kuwaelimisha wananchi kupambana na dhulma mbali mbali zinazofanywa na chama tawala na...
Ni ushauri wa bure, kwa wale wote wenye mapenzi mema na CCM viongozi pamoja na wanachama wao kwa ujumla
Zingatieni yafuatayo badala ya kuendelea kukimbizana kujipanga kwa ajili ya uchaguzi mkuu...
WanaJF,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimenasa mpango mchafu wa naibu katibu mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba wa kuwahonga madiwani wa CHADEMA jimbo la Igunga ili wajiunge na CCM...
Chama Cha Mapinduzi kimetoa mwongozo wake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya, kikipinga mambo mengi yaliyomo ndani ya rasimu hiyo iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba...
Tokana na habari za zilizorushwa Twitter na M23 ni kuwa wamemkamata askari wa Tanzania ambae yupo kwenye mission ya UN CONGO. Hata hivyo hiyo habari bado haina uhakika kama ni kweli ama uongo kwa...
Ijumaa, Julai 19, 2013 05:33 Na Shomari Binda, Rorya
DIWANI wa Kata ya Tai (CHADEMA), Godfrey Masirori amesifia jitihada zinazofanywa na Mbunge wa Jimbo la Rorya...
Napenda kuleta hoja yangu ya msingi kwenu wana jamii muelewe kuwa kuna sehemu tumekosea. Tumeshindwa kuongoza halmashauli kadhaa kutokana kutokuwa na madiwani wa kutosha sasa CCM wanatumia huo...
Wadau wa maendeleo na jamii kwa ujumla mnakaribishwa katika uchambuzi wa Mlolongo wa kodi hizi inayoanza rasmi mwaka huu wa Fedha 2013 na itakuwa zoezi la kila mwaka.
Kila halmashauri itakuwa...
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa...
Chokochoko kati ya Tanzania na Rwanda zinazidi kuongezeka
Tunawahitaji majirani zetu zaidi ya tunavyowahitaji wachina na wamarekani
Jana tulikuwa tunajibizana na Malawi, leo Rwanda; Kesho itakuwa...
Nikiwa kama mtanzania mpenda Haki na Amani ninahuzunishwa sana na taarifa za kukamatwa, kutekwa, kujeruhiwa na kuuwawa kwa askari wetu wa JWTZ waliopo sehemu mbalimbali duniani wakipigana vita...
Wapo watanzania wanaoamini kuwa itawachukua muda sana kumsahau mwanasiasa Nape Nauye kutokana na kile kinachoweza kutafsiriwa kuwa jinsi mwanasiasa huyo kijana alivyojigeuza kichekesho kila...