Tokana na habari za zilizorushwa Twitter na M23 ni kuwa wamemkamata askari wa Tanzania ambae yupo kwenye mission ya UN CONGO. Hata hivyo hiyo habari bado haina uhakika kama ni kweli ama uongo kwa misingi kuwa hawajatoa ushahidi wowote wa tukio hilo zaidi ya kutaja kuwa wana Passport ya askari huyo na silaha.
--------------------------
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, hizi ni propaganda za M23 kwakuwa hakuna askari hata mmoja wa Tanzania aliyepotea na kawaida hakuna askari anayekwenda viwanja na pasport kama inavyodhaniwa na wengi.
Aidha, kuna details nyingine nyingi (ambazo hatuwezi kuziweka mtandaoni kwa heshima ya nchi) zinazoonyesha wazi kwamba huu ni uongo mtupu.
--------------------------
===============
UPDATES: