Tanzania turudishe majeshi yetu nyumbani Haraka

Tanzania turudishe majeshi yetu nyumbani Haraka

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
3,605
Reaction score
552
Nikiwa kama mtanzania mpenda Haki na Amani ninahuzunishwa sana na taarifa za kukamatwa, kutekwa, kujeruhiwa na kuuwawa kwa askari wetu wa JWTZ waliopo sehemu mbalimbali duniani wakipigana vita visivyotuhusu sisi watanzania moja kwa moja.

Ni huzuni kubwa sana kuona vijana wetu wa kitanzania waliopo jeshini kutumika kama chambo vitani katika nchi nyingine. Tanzania tusijifanye ni wazalendo wa nchi zingine wakati wenye nchi zao wenyewe hawazijali. Zipo namna nyingi bora zaidi za kuleta amani duniani kuliko kupeleka majeshi ya kupigana vita.

Mpaka sasa bado sijaona faida ya moja kwa moja kwa nchi yangu katika vita hivyo.
Tanzania kwa sasa imepeleka vikosi vyake katika nchi za DRC, Sudan nk.

Ninatoa ombi kwa serikali ya Tanzania kuwarudisha haraka askari wetu nyumbani waje kulinda mipaka yetu, misitu yetu, Tembo wetu, Makazi yetu, Mali zetu na maisha ya watanzania. Popote pale mtanzania mpenda Haki na Amani tuungane katika hili katika kupiga kelele na kushinikiza.
 
Mwambie Rais wako Kagame awarudishe kwanza wakwake waliopo Congo kabla hujaparamia nchi yetu! We unadhani wameajiliwa waje kunywa bia? We unadhani ukiruhusu Gaidi kama Kagame atawale Rwanda na Congo na Uganda mipaka ya Tanzania itakua salama? Kule wako kwa Maslahi ya Taifa (strategic zaidi) ya kulinda mipaka yetu. Acha Mashujaa wetu wapige kazi, ukiona amani ipo jua kuna watu wanajitolea damu! Kaza kamba JWTZ,
 
bora wabaki/wapelekwe huko war zone wa-apply walicho fundishwa kuliko kubaki tz wakiota vitambi na kupiga raia.[/QUOTE
Wamewapiga watanzania wenzetu Mtwara. Kuonea watu ni kubaya, acha sheria ichukue mkondo wake! Leo wamefanyiwa wao wanalalamika. TUJIFUNZE! MUNGU AWAPUMZISHE KWA AMANI- MASHUJAA WETU.
 
Dah! Mkuu wewe umemstukia na umempatia majibu mazuri!

Mwambie Rais wako Kagame awarudishe kwanza wakwake waliopo Congo kabla hujaparamia nchi yetu! We unadhani wameajiliwa waje kunywa bia? We unadhani ukiruhusu Gaidi kama Kagame atawale Rwanda na Congo na Uganda mipaka ya Tanzania itakua salama? Kule wako kwa Maslahi ya Taifa (strategic zaidi) ya kulinda mipaka yetu. Acha Mashujaa wetu wapige kazi, ukiona amani ipo jua kuna watu wanajitolea damu! Kaza kamba JWTZ,
 
Mwamnyange peleka Askari 2000 zaidi Huko Congo. Huyu black fool kagame chupi inambana
 
Kulinda amani ndio jukumu lao na ndio kazi walioichagua wameuawa saba unalalamika je wale wanaokufa lebanon kimya kimya alafu awatangazwi umewasahau ndani ya jeshi mengi yanatokea ambao sisi raia atuijui big up makampuni ya bia kushusha bei ya vinywaji makambini waliotangulia pumzika kwa amani kwa mwenyezi amen.
 
Nikiwa kama mtanzania mpenda Haki na Amani ninahuzunishwa sana na taarifa za kukamatwa, kutekwa, kujeruhiwa na kuuwawa kwa askari wetu wa JWTZ waliopo sehemu mbalimbali duniani wakipigana vita visivyotuhusu sisi watanzania moja kwa moja.

Ni huzuni kubwa sana kuona vijana wetu wa kitanzania waliopo jeshini kutumika kama chambo vitani katika nchi nyingine. Tanzania tusijifanye ni wazalendo wa nchi zingine wakati wenye nchi zao wenyewe hawazijali. Zipo namna nyingi bora zaidi za kuleta amani duniani kuliko kupeleka majeshi ya kupigana vita.

Mpaka sasa bado sijaona faida ya moja kwa moja kwa nchi yangu katika vita hivyo.
Tanzania kwa sasa imepeleka vikosi vyake katika nchi za DRC, Sudan nk.

Ninatoa ombi kwa serikali ya Tanzania kuwarudisha haraka askari wetu nyumbani waje kulinda mipaka yetu KUMBUKA YANAKWENDA CHINI YA MIAVULI YA [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=un]#un [/URL] umoja ni nguvu ya kuweka amani popote duniani na kuondoa dhuluma ndio lengo je tujitoe [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=un]#un [/URL] ?
 
mtoa mada umetumwa wewe

nimesoma bandiko lako hadi mwisho lakini mbado kupata japo kapointi kaduchi.

Wenye nchi yenye ihimize na kutekeleza jukumu la kutafuta, kulinda na kudumisha AMANI ya dunia yetu kwa vitendo.

The least we can do is accord them the moral support
 
Mwambie Rais wako Kagame awarudishe kwanza wakwake waliopo Congo kabla hujaparamia nchi yetu! We unadhani wameajiliwa waje kunywa bia? We unadhani ukiruhusu Gaidi kama Kagame atawale Rwanda na Congo na Uganda mipaka ya Tanzania itakua salama? Kule wako kwa Maslahi ya Taifa (strategic zaidi) ya kulinda mipaka yetu. Acha Mashujaa wetu wapige kazi, ukiona amani ipo jua kuna watu wanajitolea damu! Kaza kamba JWTZ,[/QUOTE
unajua hawa watoto wakishacheza pool hawawazi tena.
 
Boro wabaki huko kuliko kurudi Tz kunywa pombe 2! Kwa hiyo ni moja ya nafac yao ya kujiimarisha zaidi kuliko kukuu hapa na kuota vitambi! R.I.P makamanda mliotutoka kishujaa.
 
Mleta mada umerogwa mbona post yako mtu akisoma umeandika hewa hata pointi hakuna nyie ni vijakazi wa kagame hamtapata mnalotaka.
 
Jukumu la kulinda amani ni la kila nchi. Ndugu yangu huwezi chagua kazi ya jeshi halafu uogope kufa. Faida ya majeshi yetu kuwepo kwenye vikosi vya kulinda amani ni lukuki. Nakushauri usome documents za UN na za Peacekeeping process tokea 1948 utakuwa na uelewa wa nini majeshi yanafanya huko kwenye Mission areas.
 
Nikiwa kama mtanzania mpenda Haki na Amani ninahuzunishwa sana na taarifa za kukamatwa, kutekwa, kujeruhiwa na kuuwawa kwa askari wetu wa JWTZ waliopo sehemu mbalimbali duniani wakipigana vita visivyotuhusu sisi watanzania moja kwa moja.

Ni huzuni kubwa sana kuona vijana wetu wa kitanzania waliopo jeshini kutumika kama chambo vitani katika nchi nyingine. Tanzania tusijifanye ni wazalendo wa nchi zingine wakati wenye nchi zao wenyewe hawazijali. Zipo namna nyingi bora zaidi za kuleta amani duniani kuliko kupeleka majeshi ya kupigana vita.

Mpaka sasa bado sijaona faida ya moja kwa moja kwa nchi yangu katika vita hivyo.
Tanzania kwa sasa imepeleka vikosi vyake katika nchi za DRC, Sudan nk.

Ninatoa ombi kwa serikali ya Tanzania kuwarudisha haraka askari wetu nyumbani waje kulinda mipaka yetu, misitu yetu, Tembo wetu, Makazi yetu, Mali zetu na maisha ya watanzania. Popote pale mtanzania mpenda Haki na Amani tuungane katika hili katika kupiga kelele na kushinikiza.
Inaelekea wewe ni kizazi cha doticom hata historia ya nchi hii huijui; huna habari kabisa kwamba majeshi ya Tanzania ndio yaliyolikomboa bara zima la Afrika kwa mtutu wa bunduki. Manchi makubwa kama Afrika ya kusini, msumbhiji, zimbabwe, drc yenyewe, angola,nk yamekombolewa na majeshi yetu kwa kipato cha pamba na katani wala sio madini na gesi. Tumepigana guinea, nigeria, ghana, sahara, tunisia, sudani, somalia, na kwingineko na huko kote tumepoteza maelfu ya wanajeshi wetu sasa sijui leo hii ni kitu gani cha kutufanya tuisaliti historia kwa vifo viwili vitatu. Mtu anapojiunga na jeshi amejitolea kufa na anaapa kutumika kokote duniani sio mipakani mwa Tanzania pekee. Hebu tuongelee mambo mazito kwa upeo kidogo sio kuleta ushabiki wa kioga
 
M23 wanamshikilia askali wetu na wamesema hawatamuua kama sisi tunavyowaua wao.
 
Mkuu si bora wakae huko au wote wapelekwe huko ila hapa mtwara tuishi kwa amani bila kupigwa,kutekwa,kudhalilishwa mbele ya watoto wetu na binti zetru kubakwa kila kukicha!
naomba huyo anayeitwa jk awapeleke wote huko
 
Mwamnyange peleka Askari 2000 zaidi Huko Congo. Huyu black fool kagame chupi inambana
Labda unataka waende mpaka Kigali, maana waliopo tayari wanatosha kumaliza kazi yote ya M23! Ila ili kazi iende haraka zaidi akifanya hivyo halafu akaomba umoja wa mataifa uturuhusu kupeleka majeshi mpakani mwa rwanda na congo 'kuilinda rwanda FDLR wasivuke kuwashambulia' tutakata mizizi ya msaada na mnyukano ndio utakua mtamu zaidi!
 
Back
Top Bottom