Shimatele dayani
Member
- Oct 10, 2012
- 32
- 1
Napenda kuleta hoja yangu ya msingi kwenu wana jamii muelewe kuwa kuna sehemu tumekosea. Tumeshindwa kuongoza halmashauli kadhaa kutokana kutokuwa na madiwani wa kutosha sasa CCM wanatumia huo udhaifu kuongoza halmashauri hizo kwa mfano Arusha mjini, Katavi etc .
Nimeona yatupasa tushirikiane na baadhi ya vyama ambavyo vina madiwani wachache katka kata fulani ilitupate kuongoza halmashauri, najua itakuwa ngumu kwa vile kuna baadhi ya vyama vipo kwa ajiri ya kuisaidia CCM.
Naomba hoja.