Wadau hii picha baada ya kuiona sijaielewa; kama kuna mtu anaielewa ningeshukuru kujuzwa. Hapa ni mafunzo ya ukakamavu kule kwenye mafunzo ya ulinzi wa CCM Green Guard? au kunani hasa hapa...
Nimekuwa nikifuatilia vipindi mbalimbali vya mijadara kwenye radio na kwenye Tvs, kitu nilichokiona na jinsi CCM na washirika wake wanavyoweza kutumia jukwaa hilo kueneza propaganda kwamba kuna...
CHAMA cha watoa huduma za mitandao (intaneti) Tanzania (TISPA) kimeilalamikia sheria mpya ya kodi na ushuru wa bidhaa hiyo iliyotangazwa hivi karibuni na serikali kwa kusema itachangia ongezeko...
UTANGULIZI
1.1 Mnamo tarehe 03/06/2013 Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilitangaza rasimu ya kwanza ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
1.2 Rasimu hii ya Katiba itajadiliwa katika mfumo wa...
Monday, July 22, 2013
HUKU Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimeweka bayana kwamba hakiungi mkono Serikali tatu kama Rasimu ya Katiba inavyoonyesha, Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe...
Mkutano unaendelea muda huu ubungo maeneo ya Yenu bar. Leo katika hali iliyokua ya si kawaida polisi walifyatua bomu wakati Mnyika akiongea na mkubwa wao kwa mbele, nyuma ya defender kulikua na...
Hallow wana JF,
Mbunge wa Singida mashariki mh. Tundu Lissu ni mgeni mualikwa ndani ya kipindi cha medani za kisiasa akijaribu kudadafua mwelekeo wa Upinzani na siasa za chama tawala.
Pia...
Nilishangaa sana niliposikia Nd. January Makamba alipokuwa akimlaumu Nd. Mnyika kwa kutoa namba yake hadharani wakati yeye nimtumishi wa umma. Wananchi ndio waajiri wako na ndio wanaolipia simu...
Leo kuna mkutano wa hadhara wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga katika viwanja vya mahakama nguzo 8 Majengo. Mgeni rasmi ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mh. Freeman Mbowe.
Sasa tunasubiri mkutano uanze...
Wanajanvi,
Habari za Uhakika toka Wilayani ulanga Mhenge vijana wapatao zaidi ya mia moja wa Green guard wanafundishwa mazoezi ya ukakamavu ambayo mafunzo yake yana elements za kimgambo. Taarifa...
Na Ussi Talib
Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba Wilaya ya Kati Unguja, wamependekeza Katiba ijayo itamke rasmi kuwa mshirika wa Muungano ni Tanganyika na siyo Tanzania bara...
Tupo mahakama kuu kanda ya Tabora hivi sasa , watuhumiwa wote watano wapo hapa mahakamani , na muda huu hapa nilipo nipo nazungumza na Henry Kilewo kwani jaji bado hajafika ndani ya mahakama...
Leo katika Taarifa ya Habari saa 2 ITV nimeshuhudia wafugaji wakifukuzwa kutoka mkoani Tanga na kupewa Masaa 24 wawe wamerudi walikotoka, Kilichonisikitisha ni pale Polisi walipotumika kuchoma...
Wadau nionavyo mm tunakoelekea ni kubaya tena tusipokuwa makini tutakwisha maisha yanazidi kupanda tu itafikia mahali watu watalipwa mshahara milioni lakini bado hautaweza kukidhi mahitaji,maisha...
Mwezi Mei mwaka jana Mke wa Kamanda Mchapakazi Dr. Wilbrod Slaa, Mama Josephine Mushumbuzi alifika Tukuyu. Aliahidi Kumleta Mumewe kuja kuongea na WanaRungwe hapa Tukuyu. Picha ya mwanzo...
Kutokana na Msajili wa vyama kutaka CHADEMA ndio impelekee ushahidi kuhusiana na makambi ya CCM kama yapo , hapa ni sehemu ya ushahidi huo kuwa sio makambi tuu bali wanapeana vyeti vya kuhitimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.