Kikwete akae na Kagame wazungumze wayamalize...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Chokochoko kati ya Tanzania na Rwanda zinazidi kuongezeka
Tunawahitaji majirani zetu zaidi ya tunavyowahitaji wachina na wamarekani
Jana tulikuwa tunajibizana na Malawi, leo Rwanda; Kesho itakuwa Kenya, na keshokutwa Uganda...
Hatutafika mahali...

Kama vile Kikwete alivyomshauri Kagame, kwa roho safi na kwa nia njema kabisa kuwa akae na FDLR waongee, nami basi napenda kumshauri Kikwete, kwa roho safi na kwa nia njema, akae na Kagame waongee, wayamalize, tuendelee kuwa na ujirani mwema...
 
Yaaabi hicho kikao wamfunge kagame migono maaana anaweza kumtoa mzee wetu manundu
 
hahaaaa, ndugu yangu TUKO unadhani Kagame huwa anakaa na maadui zake??? yeye ukishakua adui yake ni hadi afe...
 
Hahahaaa... Sidhani kama Kikwete keshakuwa adui kiasi hicho. Uhuru Kenyata awakutanishe, awapatanishe...
 
kagame haeleweki na haaminiki mkuu

His reaction towards Kikwete advice tells it all
 
Chokochoko kati ya Tanzania na Rwanda zinazidi kuongezeka
Tunawahitaji majirani zetu zaidi ya tunavyowahitaji wachina na wamarekani
Jana tulikuwa tunajibizana na Malawi, leo Rwanda; Kesho itakuwa Kenya, na keshokutwa Uganda...
Hatutafika mahali...

Kama vile Kikwete alivyomshauri Kagame, kwa roho safi na kwa nia njema kabisa kuwa akae na FDLR waongee, nami basi napenda kumshauri Kikwete, kwa roho safi na kwa nia njema, akae na Kagame waongee, wayamalize, tuendelee kuwa na ujirani mwema...
Mkuu vitu vingine pima hata wewe kabla hujaleta jukwaani wakae wayamalize yepi.

Kunakosa gani ambalo jk kafanya mpaka akae na kagame kagame anauwa watu na kupora mali za congo halafu ukae nini.

Mkuu acha kabisa kuleta hoja za namna hiyo kagame mjinga sana hamna hoja hata moja itayofanya jk na kagame kukutana.

kagame mikono yake inanuka damu ni muuaji daraja la kwanza halafu leo ukae naye ba! Bwana wewe.
 
Hahahaaa... Sidhani kama Kikwete keshakuwa adui kiasi hicho. Uhuru Kenyata awakutanishe, awapatanishe...
Mkuu kama unanywele kama hii avatar yako hazikusaidii zinyoe tu pengine nywele zimefunika akili zako nyingi kagame alivyomjinga vile leo uombe kukaa naye hata utawala wa sheria hajui.
 
Kagame angekuwa binti wazazi wake wangepata hasara sana make ni wa ajabu.
 
Chokochoko kati ya Tanzania na Rwanda zinazidi kuongezeka
Tunawahitaji majirani zetu zaidi ya tunavyowahitaji wachina na wamarekani
Jana tulikuwa tunajibizana na Malawi, leo Rwanda; Kesho itakuwa Kenya, na keshokutwa Uganda...
Hatutafika mahali...

Kama vile Kikwete alivyomshauri Kagame, kwa roho safi na kwa nia njema kabisa kuwa akae na FDLR waongee, nami basi napenda kumshauri Kikwete, kwa roho safi na kwa nia njema, akae na Kagame waongee, wayamalize, tuendelee kuwa na ujirani mwema...

Issue ni kwamba je huyo KAGAME yupo tayari kukaa na Kikwete kulizungumza hili? Na kama tutaendelea kuwa na vikosi huko Congo basi usitegemee kama huyu mtu atataka mazungumzo.
 
Mkuu vitu vingine pima hata wewe kabla hujaleta jukwaani wakae wayamalize yepi.

Kunakosa gani ambalo jk kafanya mpaka akae na kagame kagame anauwa watu na kupora mali za congo halafu ukae nini.

Mkuu acha kabisa kuleta hoja za namna hiyo kagame mjinga sana hamna hoja hata moja itayofanya jk na kagame kukutana.

kagame mikono yake inanuka damu ni muuaji daraja la kwanza halafu leo ukae naye ba! Bwana wewe.

Vipi simiyu yetu, umekunywa chai?
 
Simiyu yetu ungekuwa mwanangu wewe ningekuuza kama wanunuzi hawapo ningekutupa.
 
Mkuu vitu vingine pima hata wewe kabla hujaleta jukwaani wakae wayamalize yepi.

Kunakosa gani ambalo jk kafanya mpaka akae na kagame kagame anauwa watu na kupora mali za congo halafu ukae nini.

Mkuu acha kabisa kuleta hoja za namna hiyo kagame mjinga sana hamna hoja hata moja itayofanya jk na kagame kukutana.

kagame mikono yake inanuka damu ni muuaji daraja la kwanza halafu leo ukae naye ba! Bwana wewe.

Kagame pia anasema waasi waliua wanyarwanda na hawajatubu wanataka kuua zaidi!? Lkn Jk anataka Kagame aongee nao tu wayamalize! Wewe unasema JK hawezi kukaa na Kagame mikono yake ina Damu...logic mbovu kabisa...!!hata mtoto wa darasa la pili hawezi kuchemka hivyo!!
 
Mkuu kama unanywele kama hii avatar yako hazikusaidii zinyoe tu pengine nywele zimefunika akili zako nyingi kagame alivyomjinga vile leo uombe kukaa naye hata utawala wa sheria hajui.

Mkuu kwa nini hampendi Suluhu?Kikwete ndie kalianzisha.sasa kama ujumbe wake umepokelewa vibaya kwa nini asikae nae ili amweleweshe vizuri.Ushauri wa Tuko ni Ushauri Mwanana kabisa.Nasema hivi kwa sababu Nchi yetu kwa sasa hatupo vizuri Kidiplomasia,Kiuchumi,Kimaadili na hata Mshikamano kama taifa upo chini sana.Tumtake Radhi Kagame ambaye anaonekana ni Mjanja kuliko Viongozi wetu.
 
Kagame pia anasema waasi waliua wanyarwanda na hawajatubu wanataka kuua zaidi!? Lkn Jk anataka Kagame aongee nao tu wayamalize! Wewe unasema JK hawezi kukaa na Kagame mikono yake ina Damu...logic mbovu kabisa...!!hata mtoto wa darasa la pili hawezi kuchemka hivyo!!

Waasi waliua wanyarwanda, na Kagame aliua watu gani? Hakuna haja ya JK kufanya mazungumzo na PK, isipokuwa PK mwenyewe aombe yawepo mazungumzo.
 
Mkuu kwa nini hampendi Suluhu?Kikwete ndie kalianzisha.sasa kama ujumbe wake umepokelewa vibaya kwa nini asikae nae ili amweleweshe vizuri.Ushauri wa Tuko ni Ushauri Mwanana kabisa.Nasema hivi kwa sababu Nchi yetu kwa sasa hatupo vizuri Kidiplomasia,Kiuchumi,Kimaadili na hata Mshikamano kama taifa upo chini sana.Tumtake Radhi Kagame ambaye anaonekana ni Mjanja kuliko Viongozi wetu.

Watu type yoko ndiyo wale anachukuliwa mkewe anaenda kumuomba radhi mgoni wake.
 
Back
Top Bottom