Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimfariji mzee Ali Juma Makame wa Mkwajuni, baada ya kumjuilia hali ikiwa ni ziara ya kiongozi huyo ya kutembelea wagonjwa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajeshi wa JWTZ wakibeba jeneza lenye mmoja wa askari wenzao saba waliouawa kwa shambulio la ghafla wakiwa katika Jeshi la Ulinzi wa Amani la Umoja wa Mataifa mjini Darfur, jumamosi iliyopita...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijibu maswali toka kwa wanahabari wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari mara baada ya mkutano wa siku moja wa Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Si muda mrefu tangu nirud nyumban kwa mapumziko. Wakat huo huo mbunge wangu Mh.Mwakyembe naye yuko mapumzikon huku jimbon kwake ambako amekuwa akija ktk vpnd vya mwishon mwa mwaka pekee. Mpaka...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
TWO CCM members are contesting the High Court decision on the petition against the victory of the Singida East MP, Mr Tundu Lissu. Mr Shaban Itambu Selema and Paschal Marcel Hallu are appealing...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
CCM inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki: chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli), chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi...
4 Reactions
64 Replies
5K Views
A FOREIGNER and owner of Beachfront company, Mr Henry Domzalski, is alleged to evade taxes and deny the government revenues despite conducting business of letting buildings for the past eight...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WADAU: Angalieni wizi huu wa umeme unaofanywa na kampuni mbili za simu ambazo hata hivyo hazikutajwa. Wanakusanya mabilioni kila siku lakini bado wanataka kuikamua Tanesco. Mnaweza kukisi ni...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
It is with great pleasure that I would like to formally invite you to attend the IYDU’s second board meeting which will be held from the 25-30 July, in Dar es Salaam, Tanzania. The Board...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naye Katibu Mkuu wa CCM Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa, alisema waliishajiandaa vyema tangu mwanzo katika uchaguzi huo na wanaamini wananchi wa Arusha wanawaunga mkono na hivyo kuwapa kura za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mamia ya Waumini wa Karismatiki Katoliki Jimbo la Dar es Salaam wakiwa na mabango yenye ujumbe tofauti katika viwanja vya jangwani, jijini Dar es Salaam mara baada ya maandamano yao yaliyoanzia...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Zikiwa zimebaki siku chache kwa watumishi wa serikali kuanza kupokea mishahara ya mwezi July,kuna taarifa kuwa baadhi ya idara inaonekana mishahara mipya haitaanza mwezi huu kama ilivyoahidiwa.Hii...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya China, Liu Jiayi amefuatilia utekelezaji wa mikataba ya miradi mbalimbali iliyopangwa kutekelezwa nchini ambayo inagharimiwa na nchi yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulipelekea Tanzania. Muungano ukiwa wa nchi mbili na kuunda serikali (moja ya Muungano), umepelekea kuwepo kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Serikali...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Kuna wanasiasa wanaeneza siasa za kinafki kuhusu muundo wa muungano ili malengo yao yatimie. Wanawaambia wananchi wa vijijini na wasio na uelewa kuwa serikali tatu ni tanganyika pemba na unguja...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi tangu mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA Mh Freeman Mbowe kutangaza maazimio ya kikao cha kamati kuu ya CHADEMA kilichofanyka siku chache zilizopita, kwanza kabisa...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
  • Closed
Ndugu zanguni, Nawaomba wale wote wenye uchungu na hawa watu wawili ambao wanatelekezwa na chama chao CHADEMA, aungane nami kuanzisha harambee maalum hapa JF tuchange hela tuwasaidie makamanda...
2 Reactions
115 Replies
7K Views
Gazeti la Nipashe la leo ukurasa wa 8 lina habari njema kwamba Mbunge wa Mbeya mjini Mr Two akishirikiana na Bw John Mwambingija wanaongoza operesheni maalum ya kuingiza wanachama wapya wa Chadema...
6 Reactions
62 Replies
10K Views
Monday, July 22, 2013 | 12:55 AM Mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wanachama na viongozi wake. UTANGULIZI 1.1 Mnamo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna tetesi nimezipata muda mfupi uliopita kupitia makada wawili wa chadema hapa kijiweni kuwa kutakuwa na mkutano wa hadhara kwa ajili ya kufungua tawi lao la hapa mkolani siku ya jumanne trh 23...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom