Waasi kutoka jimbo la Darfur nchini Sudan, wameshambulia kambi ya jeshi Kaskazini mwa Kordofan, na kuwaua wanajeshi 5 katika makabiliano makali . Hii ni kwa mujibu wa jeshi la nchi hiyo...
Gazeti la Mawio la leo tarehe 25/7/2013 limepambwa na habari hii. Habari hii,ukurasa wa mbele kabisa,imechagizwa na nukuu nne za Mbowe,Tendwa,Dr.Slaa na Wakili Msomi Mabere Marando pamoja na picha...
Akiendelea kuwasilisha makadirio ya hotuba ya wizara ya kazi na ajira bungeni hivi sasa, waziri wa kazi na ajira GAUDENSIA KABAKA, amesema kuwa mshahara kwa watumishi/wafanyakazi wa sekta...
Tume ya mabadiliko ya katiba Imetoa mapendekezo ya serikali tatu, mengi yamesemwa na yatasemwa, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ndo ulizaa Tanzania, yaan ilikuwa hivi, Tanganyika+Zanzibar...
Prime Minister wa kwanza Tanganyika alikuwa Julius Nyerere mara baada ya uhuru.
Ukiangalia nchi nyingi zilizoendelea with exception ya France na USA ,nyingi zina Prime Ministers.
Mtu anaweza ku...
Leo kuanzia majira ya saa tano asubuhi Mwigulu Nchemba yupo polisi makao makuu akihojiwa kuhusiana na mambo mbalimbali na kubwa ni kuhusu mkanda wa Lwakatare, japo walishafungua kesi ya ugaidi...
SERIKALI YA DRC YAJIRIDHISHA KUONDOKA KWA KUNDI LA WAASI LA M23 KATIKA MJI WA GOMA
SIKU mbili baada ya waasi wa M23 kuondoka mjini Goma, maisha yameanza kuwa ya kawaida japo si kama hapo...
Na Dustan Shekidele, Morogoro
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Diwani wa CCM wa Kata ya Kihonda Manispaa ya Morogoro, Injinia Edwin Chambo (62) amedaiwa kumshushia kichapo mkewe Imelda Chambo...
Jaji Warioba
Mchakato wa kujadili rasimu ya mapendekezo ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umechukua sura mpya baada ya baadhi ya wajumbe kueleza kuwa mfumo wa serikali tatu...
Wana jamvi tupeane changamoto kila mmoja ajiulize angekuwa ni Rais wa Jamuhuru angefanya nin.
Nimeona hili ni swali na msingi kwa kuwa inawezekana watalawala, washauri, na waaamuzi na sisi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea kukubalika kwa wananchi wa Tanzania kila kunapokucha na kuwavutia wananchi wa kada mbalimbali.
Katibu wa ccm tawi la Marikazi Ukonga...
Kwa wale wenye uelewa kidogo na haya mambo watupe mwanga kidogo wanajamvi.
Juzi iliwekwa thread ya kuhoji uhalali wa Mbowe kutumia mali ya KUB (Kambi ya Upinzani Bungeni) kwa shughuli ya kichama...
Shilingi 1.9 trilioni zilitumika kuendesha magari ya Serikali (mafuta, vipuri, services etc) kati ya mwaka 2009/201O - 2012/13. Mwaka 2012 Juni, thamani ya magari yote ya Serikali ilikuwa tshs 5...
Wako Wazanzibar ambao wanadhani hali yao ya maisha itaboreka kama wakijitenga kutoka bara, mimi sidhani kama itakuwa hivyo. Tangu 1964 ya Muungano, Zanzibar ilipewa fursa ya kipekee ndani ya...
KWA mujibu wa Mkataba wa Muungano, uliotiwa sahihi Aprili 22, 1964, kati ya Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume, na kwa mujibu pia wa Sheria ya Muungano, Namba 22 ya 1964...
Lema anasema, kuwa "Magazeti mengi yaliandika habari za kushikana viuno na mkewe badala ya kuandika jambo ambalo aliloijia"
''Waandishi wa Tanzania badala ya kuandika alichojia Obama, wao...
wasaalam wakuu,
Mimi ni mwanaCHADEMAa na kwa nijuavyo msimamo wa CHADEMA ni kupinga uonevu,ufisadi na dhuluma yeyote dhidi ya watanzania.
Pamba road imeshafanyiwa ukarabati wa kuziba viraka kwa...
MWANASHERIA Mkuu mstaafu, Jaji Mark Bomani, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufuata misingi ya sheria katika utendaji wao wa kazi.
Bomani amevitaka pia kuzingatia sheria katika matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.