Na Jennifer Chamila, MAELEZO
Msajili wa vyama vya Siasa nchini amewaasa wanachama na viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumia muda wao kufanya shughuli za siasa ili...
Tunakukaribisha Bwana mkubwa nakaribu sana, naombanisikutajie mafanakio na ahadi ambazo hazijatimizwa hapa kwetu nyumbani,
Nyegera waitu.
Kwetu kuna msemo kuwa " ahosanga umukama...
Kwa muda dakika tano ambazo mwandishi wetu alipewa fursa ya kuzugumza na wanafunzi hao walioweza kuwataja wasanii kama Irene Uwoya,Wema Sepetu, Vicent Kigosi na Jackline Wolper na pia walionyesha...
Samweli Sitta leo amesema Vigogo wa juu wa serikali ya Kikwete waliunda makampuni hewa ya mapambo, vyombo vya sauti na viburudisho huku wakitafuna zaidi ya Bilioni 8 wakati wa mkutano wa Bussiness...
Mwanza. Siri za wizi uliotokea Makao Makuu ya Polisi mkoani Mwanza zimeanza kuvuja ambapo imebainika kuwa kompyuta aina ya laptop zilizoibwa ndani ya chumba cha vielelezo zilikuwa za ushahidi wa...
Kwa kuwa katiba ya Tanganyika ipo Tunaomba Tume ya Uchaguzi itangaze tarehe ya Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika kupitia chama cha TANU ili kwa kutumtumia rais huyo tufanye mabadiliko ya katiba ya...
Taarifa kwa raia wote...kesho mambo yote Mabibo Uwanja wa Sahara.
Dk Slaa,Mnyika,Mabere Marando naTundu Lissu watawasha Moto.
Amka tuikomboe Dare es laam.
Sambaza kwa...
Wakati mjadala unaendelea na watu tunahamasishana nini tufanye kupinga kodi mya ya simcard na kodi zingezo zilizoongezwa kuna kitu naona hakijadiliwi kabisa,nacho ni 'the man behind all this'...
Kumekuwa na mtazamo na tetesi yakwamba huenda uchaguzi mkuu 2015 ukasogezwa mbele kupisha ujio wa Katiba MPYA,
Lakini ndani ya vyama vya siasa ambavyo kwa Tanzania ni viwili tu, (vingine ni...
Kwa hesabu ndoogo kabisa, kama wabunge watano katika kipindi cha miaka mitano wametoa wabunge 40, na 26% ya kura za Urais(Pasi na kuhesabia uchakachuaji) Then wabunge arobaini katika kipindi cha...
wanabodi hebu jaribuni kufuatilia kwa umakini mtagundua halmashauri nyingi za miji zilizo chini ya wabunge na madiwani wa CHADEMA ni safi na mapato yakusanywayo na halmashauri hizi hutumika...
Tikiwasema labda watabadirika kidogo taja hapa chini watendaji wa hovyo katika wizara kama
Waziri
Naibu wake
Katibu mkuu wakuu wa idara
Na watendaji wengine
Wakuu nina wazo la kuanzisha chama cha TANU ambacho kinatambulika katika katiba ya Tanganyika. Tunahitaji wanachama kila mkoa ili chama chetu kisajiliwe na Tendwa.
TANU kitatumika sambamba na...
Kwa mara nyingine napenda kuungana na Watanzania wenye mapenzi MEMA kuhusu Muungano wetu kuwapongeza wajumbe wote wa tume ya kutunga katiba ya Jamhuri ya Muungano, wengi tumefurahishwa hasa katika...
mkuu wa mkoa wa singida Dr kone amezindua wilaya mpya " IKUNGI" ambayo itakua na majimbo mawili singida mashariki na singida magharibi.dr kone amawsema wamelazimika kufanya hivyo ili kurahisisha...
Je, unamfahamu Mh. Sijui? hizi ni sifa zake.
1. Hajui kwa nini nchi yake na wananchi wake ni masikini
2. Akiwa kama kiongozi wa juu wa chama chake pia hajui kama chama hicho kina kikosi cha vijana...
Wadau ikiwa MUNGU hutoa hukumu hapa hapa duniani kati ya hawa nani ashughulikiwe kwanza?
1. WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA
2. IGP SAID MWEMA
3. MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MH. TENDWA...
WINGU zito limetanda kwa askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), katika nchi za Sudani Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Wakati Watanzania wakiendelea kuomboleza vifo vya...
KWA mujibu wa Mkataba wa Muungano, uliotiwa sahihi Aprili 22, 1964, kati ya Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume, na kwa mujibu pia wa Sheria ya Muungano, Namba 22 ya 1964...
Ilikuwa alfajiri, saa 12 ya juzi, Jumanne wakati Juma (si jina lake halisi) na wenzake wawili walipokuwa wakiwahi kibaruani kwao. Juma ni fundi magari katika eneo maarufu la Mbuyuni wakati wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.