Waziri wa Kazi: Mishahara/Kima cha chini kwa watumishi wa Umma na Binafsi IMEPANDA NCHINI

habariyamujini

JF-Expert Member
May 16, 2013
3,094
1,225
Akiendelea kuwasilisha makadirio ya hotuba ya wizara ya kazi na ajira bungeni hivi sasa, waziri wa kazi na ajira GAUDENSIA KABAKA, amesema kuwa mshahara kwa watumishi/wafanyakazi wa sekta mbalimbali hapa nchini umepanda hususan kima cha chini.

Amezitaja kada ambazo kima cha chini kimepanda pamoja na mshahara kwa asilimia kuwa ni wafanyakazi wa viwandani, migodini, wafanyakazi wa ndani, mahotelini, sekta zote za utumishi wa umma kwa maana ya watumishi wa serikali na taasisi zake na wafanyakazi wa sekta zote binafsi.

Ametaja asilimia kwa sekta binafsi kuwa imeongezeka kwa aslimia 24, watumishi wa ndani,mahotelinin na kada ya uhudumu kwa ujumla aslimia 55 na watumishi wa umma asilimia 25.

ANAENDELEA KUWASILISHA
 
Gwakisa Mwandule

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
521
195
Namkumbuka huyu mama alikuwa mkuu wangu wa chuo pale Butimba Mwanza akishirikiana na mama mwadili Malingumu...Ni mtu mzuri sana lakini chini ya haya Maccm yatakuwa yameshampolute kabisa kiasi kwamba amesahau kwamba sisi hatuhitaji mamishahara ya ajabu afute kodi kwenye mishahara maana kwa rasilimali tulizonazo ilipaswa wageni ndo watulipie kodi na sisi kama sehemu ya uwekezaji wao hapa na mataifa yote wafanyavyo hii ni kama muujiza mgeni kufanyiwa hapa kwetu...Hivi ibilisi na sheetwani Mwigulu Chemba la Choo yupo wapi na uchumi wake wa daraja la kwanza..
 
utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,000
Vipi posho za masalia na mavijana ya maCCM yanayoshinda JF, ( Lumumba project) imepanda?

ha ha ah ha h ah aaa haaaaa aaaa, mkuu umenifurahisha sana, hata ile 200= per post inayotolewa kwa vijana wa chadema pale mtaa wa ufipa pia itapanda, sasa itakuwa 250/=
 
habariyamujini

JF-Expert Member
May 16, 2013
3,094
1,225
Vipi posho za masalia na mavijana ya maCCM yanayoshinda JF, ( Lumumba project) imepanda?

mkuu kaangalie vizuri ongezeko la posho zenu mnazolipwa pale kinondoni kushinda humu huku mkilialia kwa mods wawalinde......200 per post haikidhi kabisa maisha ya sasa ambayo yamepanda hivi
 
Ntuga

Senior Member
Apr 20, 2013
167
0
Vipi posho za masalia na mavijana ya maCCM yanayoshinda JF, ( Lumumba project) imepanda?
Mkuu ya masalia (Lumumba project) ilipitishwa, inaitwa presidential delivery unit (PDU), si unajuwa tena mambo yetu yale ya kufuatilia miradi inaendaje, Chama (CCM) kiliona ni bora payroll yao iingizwe humu. CDM wanafuatilia sana Richmond,meremeta,dowans so kama chama ilionekana ni vyema ipitishwe kisheria, yaani malipo yote ya Lumumba project yanaingia PDU (presidential delivery unit), ni matumaini umeelewa!
 
Apollnary

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
209
0
Namkumbuka huyu mama alikuwa mkuu wangu wa chuo pale Butimba Mwanza akishirikiana na mama mwadili Malingumu...Ni mtu mzuri sana lakini chini ya haya Maccm yatakuwa yameshampolute kabisa kiasi kwamba amesahau kwamba sisi hatuhitaji mamishahara ya ajabu afute kodi kwenye mishahara maana kwa rasilimali tulizonazo ilipaswa wageni ndo watulipie kodi na sisi kama sehemu ya uwekezaji wao hapa na mataifa yote wafanyavyo hii ni kama muujiza mgeni kufanyiwa hapa kwetu...Hivi ibilisi na sheetwani Mwigulu Chemba la Choo yupo wapi na uchumi wake wa daraja la kwanza..

Ndugu yangu...Unaweza lalamika mambo mengi sana nikakukubalia,LAKINI
Ninakuomba uje hapa na angalau NCHI MOJA TU duniani,ambayo wanawakata wafanyakazi Kodi ya mshahara iliyo chini ya asilimia 14....nchi moja tu...(najua huwa mnakimbilia Marekani,UK na nchi nyingine kubwa...plse usiende huko kwenye hili suala,manake litakufanya ujiulize mara tatu tatu huwa mnalilia nini Kodi ya asilimia 15..)....(ati wanasema maendeleo hamna...hiyo ni topic nyingine)
 
KIJOME

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
3,084
2,000
mkuu kaangalie vizuri ongezeko la posho zenu mnazolipwa pale kinondoni kushinda humu huku mkilialia kwa mods wawalinde......200 per post haikidhi kabisa maisha ya sasa ambayo yamepanda hivi
Masisiem bhana kwa hoja dhaifu!!yaani toka tuwashtukie na kimradi chenu cha lumumba basi mnafikiri na sisi tupo hivyo,nape lazima awashikishe uku...a msipopost mapovu yenu na ma id kibao kibao humu,CHADEMA ni mume wenu hata mkwepe vipi lazima mlale bila pichu...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom