Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KWA UFUPI Kiswil alidai kuwa mjumbe huyo hastahili kuendelea na kazi ya kusimamia mabaraza hayo kwa kuwa yeye pamoja na wajumbe wenzake kadhaa, hawana imani naye. Waraka wa Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF, Habari zilizonifikia hivi punde kutoka kwa mpiganaji mmoja aliyeko Sudani ni kuwa wanajeshi takribani 7 wa JWTZ wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa pamoja na Askari...
7 Reactions
209 Replies
37K Views
Msaada: link inayoenesha/inajadili mipaka ya jamhuri ya watu Zanzibar kabla ya muungano, hasa territorial waters na exclusive economic zone. Natanguliza ahsante.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
UBAGUZI baina ya vyama vya upinzani uliopata nguvu bungeni wakati wa kuanzisha Kambi Rasmi ya Upinzani chini ya CHADEMA, umeanza kutafuna chama hicho chenye ushawishi mkubwa kuliko vyama vingine...
5 Reactions
187 Replies
12K Views
BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, wametaka katika katiba ijayo kuwe na muundo wa Serikali moja, huku Zanzibar ikiwa ni moja ya mikoa ya nchi ya Tanzania na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba kuwataarifu kuwa ninapiga jalamba kwa ajili ya kugombea ubunge jimbo la Kigoma kusini kwa Tiketi ya chadema.Mimi ni msomi mwenye shahada katika fani ya uhandisi. Mwezi wa kumi na...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanajamvi nimeona nitangaze nia yangu mapema ya kugombea urais 2015 kupitia CUF.Nitamwomba Mh.Prof. I.H.Lipumba aniunge mkono. Nina dhamira ya kweli na nia ya kuwatumikia watanzania kupitia chama...
0 Reactions
81 Replies
6K Views
Rais Kikwete ametoa agizo mamlaka zote husika zikae chini kutatua haraka mzozo wa kodi ya sim card ili kumaliza malalamiko ya wananchi. Rais Kikwete ametoa agizo hilo jioni hii alipokutana na...
3 Reactions
181 Replies
14K Views
inasikitishasana jinsi ambavyo wasaidizi wa raisi kwamaamuzi yanayo kinzana juu ya maamuzi yakutoza kodi lineza simu baraza la mawazi linapo kaa waziri mkuu ndie mwenye kiti iweje leo makamba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
huhusu gesi tunajua japo kwa asilimia ishirini au selasini. vipi kuhusu hayo mafuta tuliyoambiwa yamepatikana na utafiti unaendelea. nijuavyo unavyoambiwa utafiti nikua watu wanajichotea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ujumbe wa Chama cha Mapinduzi Taifa,ukiongozwa na Katibu Mkuu A.Kinana,Nape Nauye na Martin Shigela umetembelea eneo la chuo cha Kufundisha Makada cha IHEMI mkoani Iringa.Lengo la ziara hiyo ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa uzoefu nilionao kuhusu hotuba za J. K ni kwamba Ziara yake Bukoba imekusudia kumvaa Rwakatare nasema hivyo kwasababu kuu tatu. NAKUMBUKA hotuba yake ya mwezi iliyojaa vijembe zidi ya Lema...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mnajisikia je?
11 Reactions
26 Replies
3K Views
Moja ya maelezo matamu ya kodi ya line za simu yaliyotolewa na Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ni kodi makhususi kwa kuendeleza umeme wa vijijini.Ieleweke wazi umeme si jambo la muungano hata...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
JESHI la Polisi limeendelea kumlazimisha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe awasilishe kwao ushahidi wa kuhusika kwa jeshi hilo na mlipuko wa bomu uliotokea...
0 Reactions
3 Replies
969 Views
"CCM yapeleka balaa mikutano yaKatiba ; Waraka wake wazua tafrani Iringa" Waraka wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wanachama wake kushinikiza watetea matakwa ya chama hicho kwenye maoni yao katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Kama mwananchi wa TZ ninawakilishwa katika nyumba ya kutunga sheria na mbunge ambae alipata kura mingi kumtosha akatuwakilishe,cha ajabu ni analala,kawa bubu,haulizi swali wala hajibu...
2 Reactions
125 Replies
10K Views
Kodi simu ni 1000/= tu kwa mwezi atiiiiii 34/= kwa siku ........ ....wanalalama ? ....kweli hawawezi kuilipa hawa ? ....si bure wametumwa hawa au kuna wanasiasa wanawashawishi ili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
*Wataka Serikali iwajengee nyumba, isomeshe watoto *JK kupeleka ombi UN, AU sheria zibadilishwe WAJANE wa askari saba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wameililia Serikali iwasaidie...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kutokana na kushambiliwa na polisi katika mikutano mbalimbali ambayo Chadema inatimiza wajibu wake wa kidemokrasia ni vizuri sasa chama hiki watumie teknoljia ile waliyoitumia Arusha kuweka...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom