Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kufuatia ushauri aliokuwa ameutoa Rais wa Tanzania kwa marais wengine wa nchi za maziwa makuu namna bora ya kutatua migogoro katika nchi ya kongo,uganda na rwanda umeonekana kutafsiriwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nakubaliana na waziri mkuu Pinda kwamba nchi hii lazima iongozwe kwa sheria,kinyume chake kama sheria haifuatwi hasa na viongozi wenye dhamana kunaweza kukatokea machafuko makubwa. kwa hiyo...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kwamda mrefu wananchi wa jimbo la Sengerema mkoani Mwanza wamekosa mwakilishi makini bungeni na ambae atawatatulia matatizo yao, ndio maana nimeamua kutangaza kuwa nitasimama katika kugombea...
4 Reactions
50 Replies
7K Views
  • Closed
Wadau, Jamaa yangu mmoja kanitumia mail ananiambia kulikoni kampuni ya Cargill imefilisika? Kampuni ya Cargill haijafilisika! Bali management ya Cargill Tanzania imefilisika kimawazo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakikabidhi kadi kwa mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA taifa mh Mabere Malando . Wazee nguli wa CCM mtaa wa Jogoo ambao pia walikuwa wajumbe wa nyumba kumi kupitia CCM jana katika uzinduzi wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
na Mwandishi wetu, Tabora KUMEZUKA hali ya sintofahamu miongoni mwa madiwani wa Halmashauri ya Manispaa Tabora na uongozi wa CCM, baaada ya mwenyekiti wa chama mkoa, Hassan Wakasuvi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nguvu za RA na Lowasa muda wote tangia JK aingie madaraka zimekuwa tishio sana .Majuzi naongea na mtu mmoja ndani ya CCM anabainisha kwamba kuna tenda ilitoka na ikawa inaliliwa na Lowasa na RA...
0 Reactions
97 Replies
17K Views
Katika kushughulikia suala la ajira kwa vijana nchini, BAVICHA imeijuu serikali ya CCM kwa kudai kuwa ndio chanzo kikuu. Jisomee mwenyewe kama ilivyoripotiwa leo kwenye baadhi ya vyombo vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HALI ya ubadhirifu wa fedha za serikali zinazotolewa kwa ajili ya miradi ya maendeleo na kuishia kwenye mikono ya watendaji wasiokuwa waaminifu ndiyo fimbo ya kukiangamiza Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
- Nilichojifunza ni kwamba tatizo la CCM ni sisi wenyewe kwa wenyewe Viongozi wa CCM, kuanzia wa juu mpaka wa ngazi za chini, lakini Wapinzani wala sio tatizo isipokuwa wao wanatumia tu matunda ya...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Inauma,inaudhi naakusikitisha sana kuona kwamba kundi kubwa la watanzania linajishughulisha na dawa za kulevya,lakini hatuoni juhudi yoyote ya polisi ya kukamata wahusika kama wanavyo washugulikia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wanaodai serikali tatu naomba watambue iko kinyume na natural law of equlibrium hakuna uwezekano wowote serikali hizo kufanya kazi bila muungano kuvunjika. Hakutakuwepo ''balance of power''...
0 Reactions
84 Replies
6K Views
“Asema wengi hawachangii lolote bungeni na hawana yeyote wa kuwahoji kama ilivyo kwa wale wa majimbo” “Aunga mkono Rasimu ya Katiba Mpya kufuta viti hivyo, asema ni mzigo mwingine kwa wananchi”...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu uko msemo wa kiswahili unaosema "mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi" Leo msemo huu unajidhirisha hapa nchini. Nchi yetu iliona haja, na iko katika mchakato wa kuandika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Swali la kipima joto la siku ya leo,lilikua likihoji je Wanasiasa wanaotumia Dini kama njia ya kutafuta uongozi ktk jamii je wanafaa kupewa HAPANA 76% NDIO 19 SIJUI 5. Je wewe ungesema...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sumaye ameipiga kijembe serikali kwa kusema mlinzi na mtetezi wa katiba wa kwanza ni rais wa nchi akifuatiwa na viongozi wengine. "Ndivyo wanavyoapa viapo vyao vya uaminifu kwa nchi. Kwa hiyo...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Katika gazeti la mtanzania la leo,limekuja na habaru ya IGP mtarajiwa baada ya Said mwema kustaafu decemba mwaka huu.Majina ya wanaopewa kipaumbele cha kumridhi ni manne nayo ni diwani athuman(rpc...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Uchaguzi wa Zimbabwe umekamilika. Rais Mugabe ameendelea kuiongoza Zimbabwe baada ya ushindi wa zaidi ya 60%. Chama chake cha ZANU-PF kimepata viti zaidi ya 140 kati ya 210. Hii inaonesha kuwa...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
SIjui km hili limewekea umakini wa kutosha ila ni ukweli usiopingika gahrama za kuweka na kusafirisha hela ktk mitandao ya simu inaweza geuka kuwa umasikini kwa raia wetu.Mara hela iingiapo ktk...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kupitia taarifa ya habari ITV saa mbili ni kuwa watu 11 wamekamatwa na police Kagera kwa kosa la kujaribu kuzuia mkutano wa rais jakaya kikwete.mwenye picha na maelezo ya kina zaidi kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom