Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hoja yangu hii inaweza kuchukuliwa kama mzaha lakini ndiyo ukweli wenyewe.Watu wa kwanza kuharibu demokrasia na kuchjagua CCM pamoja na kelele zao ni wakazi wa Jiji la Dar Es salam hasa wasomi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mh. Waziri Mkuu Pinda atakuwa ndiye waziri Mkuu wa kwanza Tanzania Kufikishwa mahakamani na wananchi kupitia asasi ya kiraia, hii record ni mpya haijawahi kuwekwa na waziri mkuu yeyote. Kama...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
  • Poll Poll
:fish2:Kwa sababu ya uchache wa shule za sekondari nchini na kwa sababu ya kudumisha umoja wa kitaifa baada ya uhuru, serikali ya Tanganyika iliamua kwa dhati kabisa kila mwanafunzi anayefaulu...
0 Reactions
3 Replies
980 Views
Wanajamvi: Katika kongamano la kisomi kama hili nilitegemea kwamba wasomi wetu wangehoji ile dhana ya Tanzania ni kisiwa cha amani. Lakini nina wasiwasi wamepapasa papasa sana. Nchi hii tangu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nakileta kilio cha watu wa Tarafa ya Kwamtoro, wilayani Kondoa, Dodoma kupinga ujinga wa madiwani wa CCM kufanya Chemba kuwa makao makuu ya wilaya ya Kondoa kusini. Hii inaonyesha kwa kiasi gani...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa UVCCM taifa, amesema serikali tatu hazitekelezi kwa kuwa zina gharama na zitavunja muungano. Amependekeza muundo wa serikali mbili uliopo uendelee. My take: 1.Kwa nini...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo saa mmoja jioni ITV kipindi kipya cha MZALENDO alikuwepo Dr Slaa kaibu mkuu wa CHADEMA na Mhe Philipo Mangula makamu mwenyekiti wa CCM mazungumzo hayakuwa mazuru kwa kiasi cha kutosha yalikuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL - EXECUTIVE MANAGEMENT TEAM Dr. Marina Njelekela - Executive Director. Dr. Hedwiga Swai -Acting Director of Medical Services Dr. John Kimario -Acting Director of...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
WAZEE WAKERWA NA KAULI YA NAPE KWAMBA "WANASUBIRI KUFA" Wanamtuhumu Nchemba kwa kushusha heshima ya CCM mbele ya umma, na kuchangia matokeo mabaya katika uchaguzi wa madiwani uliofanyika Arusha...
4 Reactions
73 Replies
7K Views
Dar/Dodoma. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemfungulia mashtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutokana na kauli yake aliyoitoa bungeni hivi karibuni kwamba wanaokaidi maagizo ya dola...
3 Reactions
180 Replies
14K Views
Awali ya yote naanza na nukuu hii, "tutahakikisha tunazunguka mikoa yote sambamba na mawaziri wetu kuelezea utekelezaji wa ilani ya wananchi mikoa yote, lengo ni kuwaonesha wapinzani kwamba...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Wadau lengo hasa la kuanzisha mfumo wa upigaji kura kwa siri yaani (secret ballot) lilikua ni kuweka uhuru wa kuchagua na kupunguza lawama na vitisho pamoja na chuki baada ya uchaguzi huko katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mheshimiwa raisi, awali ya yote hongera kwa hotuba yako ya mwisho wa mwezi maana ilijaa lugha tamu ya kidiplomasia inayo onyesha ni namna gani ulivyo muungwana na usiye penda magovi au migogoro na...
15 Reactions
39 Replies
6K Views
Chama Cha Mapinduzi, CCM bado kinaonekana kuendeleleza sera yake ya kupinga muundo wa serikali tatu ambao hivi sasa unapendekezwa pia katika rasimu ya Katiba Mpya inayoendelea kutolewa maoni na...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wananchi mkoa wa Pwani wameandaa maandamano ya kupinga kituo cha haki za binadamu kwa kitendo cha kumfungulia mashitaka Waziri mkuu mh Pinda na mwanasheria mkuu wa serikali Jaji Werema. Wananchi...
0 Reactions
183 Replies
12K Views
:fish2:Kwa sababu ya uchache wa shule za sekondari nchini na kwa sababu ya kudumisha umoja wa kitaifa baada ya uhuru, serikali ya Tanganyika iliamua kwa dhati kabisa kila mwanafunzi anayefaulu...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
KAMISHNA wa Tume ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini, Godfrey Nzowa, amesema baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwakabidhi majina ya watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya, kitengo chake...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
na Sitta Tumma, Mwanza JESHI la polisi mkoani Mwanza, limemkamata na kumhoji Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela, Henry Matata, kuhusiana na tuhuma za kutishia kumuua mbunge wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo mawakili wa pande zote wametoa maelezo yao huku Upande wa Henry Kilewo na wenzake wakitaka mahakama Kuu ifute mashtaka yanayowakabili kutokana na kutokuwa na uhalali wa kisheria. Mahakama...
3 Reactions
88 Replies
8K Views
Mkutano wa vijana ubungo riverside unaozungumzia changamoto za vijana ktk ajira mgeni rasmi waziri wa madini mkutano unaendelea...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Back
Top Bottom