Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa biashara Zanzibar amesema mafuta ya OKI na VIKING yaliyopigwa marufuku ni safi kulingana na vipimo alivyopewa na wataalamu wake na Kuwa TBS ina njama za kuwadidimiza wafanyabiashara wa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Hamis Kigwangala amekiri kwenye kipindi cha MAKUTANO akihojiwa na FINA MANGO kwamba hawezi kumpa kura yake LOWASSA!. Sikiliza MAGIC FM SASA. 'Mh Edward Lowasa hajatangaza nia ya kugombea...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Wazo la kuunda muungano wowote ule ni Idea ya ku gather strength. Nchi tofauti au tawala tofauti zenye wingi wa watu unaowiana na eneo la ardhi lenye ukubwa unaofanana wanaweza kuungana ili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
- Ilani ya Serikali ya CCM, inasema ni lazima kwa Madiwani na Wenyeviti halmashauri kutenga Asilimia 10% ya makusanyo ya mapato ya kodi yaani on source kwa ajili ya kuwakopesha kina mama na...
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Sasa imeshakuwa dhahiri kuwa CCM bado ina fikra dhaifu na zisizo na tija juu ya muundo wa muungano wetu. Muundo wa sasa wa muungano umenung'unikiwa na watanzania milanga na milanga, mbaya zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Alituma kwa Wana Tumaini University Yahoo Group Salaam wana Tumaini na wapenzi wa ukweli kote mliko. Tangu Amina alipofariki usiku wa juzi, mimi binafsi kama Mhariri wa gazeti la Rai, nimepokea...
0 Reactions
357 Replies
48K Views
BAADA ya kuiuzia Tanzania rada kwa bei ya dhuluma miaka kumi iliyopita, kampuni ya BAE Systems ya Uingereza sasa imepewa zabuni ya kusambaza vifaa vya rada hapa nchini, imefahamika. Kampuni hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAKATI mjadala kuhusu muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uwe wa serikali tatu kama inavyopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba ama wa serikali mbili kama inavyong'ang'aniwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Mwigulu, Wakati mbunge wa Singida magharibi Mhe. Mwigulu Mnchemba anapasua masafa ya nchi wapiga kura wake wanamlilia kweli aende akawasikilize matatizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau lile kongamano la amani lililoandaliwa na Udasa lipo hewani sasa hv ITV ambapo ni marudio. Jamani waliokosa sasa ndo muda muafaka kuangalia
0 Reactions
0 Replies
836 Views
na Mwandishi wetu <a href="http://adserver.adtech.de/adlink/3.0/1332/4486816/0/357/ADTECH;loc=300" target="_blank"><img...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NCHI IKO SALAMA, ATAKAYE JARIBU ATAKIONA CHA MTEMA KUNI. Maneno hayo ameyasema ya leo Kikwete, pamoja na mambo mengine amegeuka MC. "Nchi ipo salama, msisikilize maneno ya mtaani, CD, au...
11 Reactions
360 Replies
30K Views
Ndugu wanahabari, kwanza kabisa napenda kuwashukuru kwa kuitikia wito wangu, ili niweze kuzungumza na watanzania kupitia kwenu kuhusu hatari kubwa inayolikumba taifa ya madawa ya kulevya...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Nilikua najaribu kutizama ni nchi gani nzuri kwa kuwekeza ndani ya africa,sikushangaa sana kwa nini hatuko kati ya nchi hizo, kwa sababu ya historia yetu ya kupora mali ya watu (kutaifisha),lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna mchakato umeanzishwa kuelekea kuandikwa kwa Katiba mpya. Kama tujuavyo, tayari kuna Rasimu ya Katiba hiyo mpya. Moja ya maeneo yaliyovuta hisia za Watanzania wengi ni muundo wa Muungano wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dua na sala zenu makamanda na watu wote wapenda haki, matumaini ya Watanzania wanaotaka mabadiliko ndani ya nchi yao. Wote, wenye kusali, kuswali tuweke mikono yetu hewaninkwa aliyejuu ili haki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rasimu ya Katiba imepunguza mambo ya muungano kutoka 22 mpaka saba, kwa sasa mambo ya muungano yanaendeshwa kwa tsh 1.2 trilion kwa mwaka, hivyo sababu mambo yamepungua tunaamini yatapungua, kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Unaweza kumnyoshe mwenzako kidole kimoja kwa mabaya, wakati vidole vitatu vingine ukutazama wewe? Naombeni majibu 1. SAMAHANI NI MTANZANIA GANI ANAJUA WALIVYOPATIKANA HAWA...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Vyama vya CCM na Chadema yapambana.Kapeni zaaanza leo na uchaguzi ni tarehe 11 august 2013.Hii ni dalili kuwa 2015 patakuwa hapatoshi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baadhi ya wajumbe wa baraza la katiba wilaya ya magharibi Zanzibar Wamependekeza suala la elimu ya juu liendelEe kuwa la muungano kwa maelezo kuwa Serikali ya mapinduzi ya zanzibar haina uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Back
Top Bottom