Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika taarifa ya habari saa 2 ITV nimeshtushwa sana na Taarifa kuwa Marekani na Uingeleza hawana imani na matokeo ya Urais ya Zimbabwe yaliyomrudisha Bw. Mugabe kuongoza nchi hiyo kwani wanasema...
0 Reactions
3 Replies
969 Views
Watanzania wenzangu, binafsi nilivutiwa sana na kauli ya Rais Kikwete aliposema anapenda tudumishe amani na majirani zetu wa Rwanda. Lakini nakatishwa tama ninapoona Kikwete huyohuyo ameagiza...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Tanzania imepata kuwa na mawaziri wakuu kadhaa katika vipindi tofauti vya utawala, wakati, siasa na changamoto mbalimbali. Vigogo hawa wengi wanatamani sana kushika dola na kurudi magogoni kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kuhusuMapendekezo ya Mabadiliko ya Sheria ya (TISS ACT, 1996) -Ni nani mteja wa serikali na vyombo vyake vyote? -Ni nini Maana ya Usalama? -Je wananchi wanaona/wanapata walicho tarajia...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
National IDs to be used as travel documents by 2014 By Eric KabeeraAugust 03, 2013National IDs will complement passports as travel documents within Uganda, Rwanda and Kenya. Saturday...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Haya maneno yalitamkwa na mmoja wa wahasisi wa Muungano.Anaejua atuambie Maneno hayo yalimanisha nini.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeisoma rasimu nzima ya katiba mpya lakini sijaona sehemu yoyote ilipotajwa tanganyika,nijuavyo mimi tanzania ni munganiko wa baadhi ya herufi toka neno zanzibar na tanganyika.lakini katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.zanzibar-ina ikulu 2.tanzania-ina ikulu 3.tanzania bara-haina ikulu NB:TANZANIA BARA=TANGANYIKA na tanganyika ikulu yake ndio ilichukuliwa na serikali ya muungano. Je tutaenda kutekeleza...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Watanzania tumefika maali tuwe na maamuzi magumu kwa maswala magumu hasa yanayohusu maslahi ya wananchi wa taifa hili, nasikia wenzetu zanzibar wanataka serikali yao kamili na wanahitaji muungano...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
  • Closed
WanaJF! Katika hali ya kushangaza na kusikitisha ni pale mambo ya jamii hasa yanayo husu maendeleo kuingiziwa mambo ya kiitikadi ya vyama vya siasa. Josephine ambae ni mchumba wa Dr Slaa...
2 Reactions
85 Replies
6K Views
Leo Tarehe 04 August 2013 ni ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mbuyuni- Kata ya Makongo,(Dar Es- Salaam).kuna wagombea wawili ndugu.Jerome Kalemaula (CHADEMA) na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh.Mkapa uliipokea nchi 1995 ikiwa na mzigo wa madeni Hazina ya Taifa ikiwa haina kitu. Ulitushauri tufunge mkanda lkn ukasahau kutuambia kuifungua au hata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WanaJF! Ni dhahiri kuwa bado ndani ya mioyo yetu tuna majonzi ya kupotelewa na ndugu na jamaa zetu kwenye tukio la kinyama lililo husisha mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha siku ya...
1 Reactions
132 Replies
9K Views
Kwani kuna asiejua kashfa alizonazo chenge?chenge si ndie aliesaini mkataba wa kununua radar kwa njia ya kifisadi na akaita sh billion moja alizopewa ni vijisent? Si ni huyu ambae ameliingiza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria...
1 Reactions
103 Replies
8K Views
  • Closed
Na Mwandishi Wetu Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda *Arekodiwa akihamasisha Waislamu kuasi *Amtumia Mtume kupinga uteuzi wa Rais...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
Huyu mtu anayeitwa Hellen Bi.Simba wa Haki za binadamu hapa Tanzania ni mnafiki sana. Aidha naweza kusema anatumika na chama cha siasa hapa nchini.Kuna mambo nyeti yanayohusu haki za binadamu...
3 Reactions
167 Replies
15K Views
Mh.Dkt.Webiro juzi alifanyiwa sherehe ya kichifu ya Wazee wa Kisizaki ambayo ni heshima kubwa aliopewa na wanabunda kwa kazi ya kupigania eneo la kawanga kwa miezi mitatu. Tayari wameahadiwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika kampeni za uchaguzi wa serikali za mtaa -aongelea tatizo la maji na stage iliyofikia katika kutatua tatizo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nikiwa kama mmoja wa Wananchi wa Tanzania niliyefurahia wazo la kurejeshwa kwa Serikali ya Tanganyika lililopendekezwa katika Rasimu ya Katiba Mpya,Nimeshangazwa na baadhi ya Watanzania hasa wale...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom