Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,890
Nguvu za RA na Lowasa muda wote tangia JK aingie madaraka zimekuwa tishio sana .Majuzi naongea na mtu mmoja ndani ya CCM anabainisha kwamba kuna tenda ilitoka na ikawa inaliliwa na Lowasa na RA basi hata CCM na serikali walishindwa na matokeo yake Manji na hawa watu wamechukua tenda .
Nikiwa niko hapa hapa Dodoma mwana CCM mmoja anasema kwamb ana furaha kuona kwamba baada ya Lowasa kutoka pale sasa Tanzania inaweza kupata huduma za simu za bei ya chini zaidi ambazo muda wote kampuni hiyo imekuwa ikiwatishia maisha yao marafiki zao na hasa Vodacom ambayo muda wote imebebwa na Lowasa.
Taltel yaja , baada ya a very long struggle ya kibali kuzuiliwa na TCRA na Lowasa binafasi kwa shinikizo la Lowasa .Kisa jamaa wanakuja na bei nafuu sana za matumizi ya simu , pamoja na TV services toka US .Pinda kazana na fanya kama ulivyo amua kuhakikisha kibali kinatoka baada ya TCRA na Lowasa na Vodacom yao kuwekea ngumu kampuni hii .
Watanzania wanawaweza kupata nafuu ya gharama za simu .

Last edited by a moderator: