Mie naendelea kuisha ngaa hii tv inayoitwa ya taifa inakuwaje mwanzo wa habari za kitifa hadi mwisho wainyeshe habari za CCM tuuuu???
Hivi ndo kodi zinatumika kwa maslai ya nani???
Waziri wa mambo ya nje Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa nchini zimbabwe akiwa ni mwakilishi wa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete kama Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa,ulinzi na usalama wa nchi za...
Source: The EastAfrican
The push for a comprehensive overhaul of laws governing natural resources in East Africa gathered momentum this week after deadly protests hit Tanzania's southern Mtwara...
Kwa bahati mbaya suala la muungano halijapata kuwa the topic of my interest…sifahamu ni kwanini ingawaje kama ningeulizwa bila shaka jibu langu lingekuwa kwamba nchi hii ina matatizo makubwa...
Pengo: Tafuteni amani bila kutishia maisha ya wengine
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo
Askofu...
Political will to deal with drug kingpins is lacking
Friday
August 2, 2013
By Katare Mbashiru
Posted Thursday, August 1 2013 at 20:19
THE CITIZEN
Dar es Salaam.
Barely a week...
Mbunge wa jimbo la Isimani (W.Lukuvi), ameshindwa kuwatetea wananchi wa jimbo la Isimani hususani tarafa ya Idodi na Pawaga ambao wanatatizo kubwa kuhusu kulipa pesa nyingi za ushuru wanaolipa kwa...
USHAHIDI WA PICHA,WATANZANIA WENZETU WAVAMIWA NA KUPIGWA HUKO UGIRIKI
UDIA
Na Michuzi Blog Salam Kaka Michuzi na Watanzania wote
Naomba niwekee hizi picha nne za...
Katika kupitia rasimu ya katiba mpya nimeona kuwa katika mambo yanayoelezwa kuwa ni ya Muungano ni "Mambo ya Nje". Wakati huo huo, katika ibara ya 62 (2) ya rasimu hiyo kunaelezwa hivi (nanukuu)...
Moja ya jambo la ovyo kabisa katika rasimu ya katiba mpya ni kuwepo kwa kipengele cha kutaka kuwa na bunge lenye wabunge walioingia bungeni kwa sababu ya jinsia zao.
Binafsi bado sijaona...
Mwalimu wangu Kitila Mkumbo naandika hapa jukwaani nikiwa na imani kwamba unapataga muda wa kuingia na kusoma nyuzi za humu jamvini. Mimi nikiwa kama Mwana Iramba ninaetokea Kiomboi...
HATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea Arusha Januari 5, 2011 kwenye maandamano ya CHADEMA imevuja...
Serikali si mlisema kama meli za Iran hawatumii tena bendera ya Tz. Inakuwaje leo tunasikia wanatumia bendera ya Tz? Tusije kupoteza credibility yetu duniani (hasa hasa USA and the West) baada...
Wakuu wana CCM wenzangu
Leo nilikuwa natafakari ni kwa nini Chama chetu Kinachukiwa. Sababu iliyonifanya Nifikirie sana ni Baada ya Kumtembelea Mdogo wangu anayesoma shule moja ya "WAZAZI" huko...
Sitampa kura yangu Edward Lowassa - Dk Hamis Kigwangalla - wavuti.com
Jana nilialikwa na dada yangu Fina wa Mango kwenye show yake adhimu ya Makutano na Fina Mango. Nianze kwa kumshukuru dada...
Mara nyingi zimekuwa zikijitokeza kasoro nyingi ambazo zimepelekea kuwepo na malalamiko mengi toka, aidha kwa vyama au kwa wapiga kura wenyewe. Kasoro hizo zinatokana na sintofahamu ambazo...
Staili mpya ya siasa inayotumiwa na CCM ni janga katika taifa. Badala ya kutumikia wananchi sasa viongozi wamekua busy kuwafungulia kesi viongozi wa CDM, kesi ambazo hazina vichwa wala miguu...
Huu ni ushauri uliotolewa na mwenyekiti wa uvccm mkoa wa kilimanjaro wakati wa kongamano la kujadili katiba mpya kwa vijana wa ccm mkoa wa kilimanjaro.
Mwenyekiti huyo amemshauri rais kikwete...
Nimekuwa nikijiuliza katika mambo mbalimbali ambayo yamefanyika kwa nchi za Kenya,uganda na Rwanda kukaa vikao vya pamoja kama EAC bila Tanzania kuwepo na jana wamezindua ID itayowafanya watalii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.