Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kesi ya Henry Kileo na wenzake sasa imechukua sura mpya kwani sasa imekua ya ugaidi na ivo kushindwa kusikilizwa na si muda mrefu DPP amekata rufaa kupinga kufutiwa mashitaka ya ugaidi bwana...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Ndg wanaJF Muda mfupi kuanzia sasa mbunge wa jimbo la ubungo na waziri kivuli wa nishati na madini atakuwa Star TV akizungumzia umeme kuelekea 2015.... MBUSULE C.SHILLU M/kiti BAVICHA(J)
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwkit wa UVCCM wilaya ya Arumeru Magharibi jmbo la Naibu waziri wa Ardhi Godluck ole Medeye, BONFAS LAIZER, amehukumiwa kifungo au kulipa fain na Mahakama ya Maromboso iliyopo katikat ya jiji la...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa kweli kuwaleta hapa Dar hawa waheshimiwa , tena katika muda huu si jambo dogo. Kuna wanaosema sana kuwa "tuna chumbiwa" kwa sababu ya madini yetu. Kuna wanao beza hizi juhudi kuwa ni showman...
3 Reactions
62 Replies
5K Views
Wakati Jeshi la Polisi likidai kupeleka jalada la uchunguzi wa matukio ya kusafirisha dawa za kulevya kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), kiongozi huyo amekana kupokea jalada hilo. Akizungumza na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
    Wanandugu mimi ninavyoona jinsi mambo yanavyokwenda hawa jamaa masisiemu wanapanga kubaki madarakani kwa nguvu mwaka 2015. Basi kama ndivyo itavyokuwa TANZANIA itakuwa vitani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo hii kama Watanzania wengine wapenda mabadiliko nilijikuta natabasamu usiku wa manane (saa za Marekani) baada ya kupata taarifa kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa Bwana John Tendwa amestaafu...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
Kampuni ya NIkuv ya Israel ndo kiboko wa kuvuruga chaguzi na kutoa matokeo yanayotakiwa na watawala. Kampuni hii ndo inalaumiwa na vyombombalimbali vya kimataifa kuvuruga chaguzi za Zimbabwe 2013...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WASOMI na wanasiasa nchini wameunga mkono msimamo wa Tanzania uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete kuhusiana na chokochoko zinazoanzishwa na Rwanda na wamemtaka Rais wa nchi hiyo, Paul Kagame, kukaa...
8 Reactions
149 Replies
14K Views
Timbwili la kisiasa hapa Tanzania huwa na mashamsham na motomoto nyakati za kampeni za chaguzi tu,huu ni ushahidi kutoka vyanzo mbalimbali vya masuala ya siasa za Tanzania.Sasa nasema hivi,kwa...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Nikiwa Mzaliwa wa Jimbo la Bumbuli, nashangaa ni kwa nini CHADEMA na M4C hawajafika Bumbuli. Bumbuli ni moja ya majimbo yaliyo nyuma sana kimaendeleo, lakini nashangaa CHADEMA wanazunguka nchi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salamu! Kwa wale wana ccm waliolewa madaraka kama Nape Nnauye,Mwigulu Nchemba,Januari Makamba na wengine wenye hulka kama hawa.Kwanza nawapa pole kwa kauli zenu za kiuudhi,kejeli na dharau,hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MH.DKT.LUCAS WEBIRO WA CHADEMA ATOA HALI HALISI YA MAENDELEO YA ELIMU KWA BUNDA MJINI, JUZI KWENYE MKUTANO WA HADHARA JIMBONI. Mh.Dkt. Webiro alisema,Tuelewe kuwa cream ya wasomi wa Bunda sasa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari kutoka ndani ya kambi ya Benard Membe msaka urais kupitia Chama cha Mapinduzi, zimedokeza kuwa mtu wao huyo ana mzimu unamuandama. Katika kufunguka kiduchu mtoa nyeti huyo anadai ndugu...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF? Naomba kuwakilisha maoni yangu ya rasimu ya katiba mpya, kwenu na wadau wote katika mchakato wa katiba mpya ya Tanzania.Tuchangie kwa hekma zaidi. Asanteni.Na Josam.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sina shaka kwamba idadi kubwa ya wa tz wanaelewa nafasi zao katika kuchagua uongozi unaowafaa. Swali ni Je, watu wote wenye umri unaoruhusiwa kupiga kura wamejiandikisha? Napendekeza katiba mpya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MBUNGE wa Karagwe, Gozbert Blandes (CCM), ameshindwa kufanya mkutano wa hadhara katika mji wa Kayanga, wilayani humo baada ya kukosa wananchi wa kuwahutubia. Blandes alipanga kufanya mkutano wa...
10 Reactions
41 Replies
5K Views
Wiki iliyopita niliweka barua ambayo ilikuwa imeandikwa na Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Manyoni Bi Julieth Binyura akiwaagiza walimu wote kuchangia Mwenge Tshs 3000/ kwa kila mwalimu. Taarifa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni kiri tu mimi ni muumini wa utawala wa majimbo. Ni sera hii ndo iliyonivutia hadi nikampigia kura Dr. Slaa katika uchaguzi wa mwaka 2010. Nashangazwa na ukimya wa CHADEMA katika kupigania na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam wana JF, Bila shaka kwa asilimia kubwa Watanzania wana kiu kubwa ya kuishi chini ya mwamvuli wa katiba mpya itakayotokana na mawazo yao, kwa ajili yao na sheria mama itakayoamua hatma yao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom