Membe mzimu gani unakutafuna?

Membe mzimu gani unakutafuna?

Uchaguzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
914
Reaction score
171
Habari kutoka ndani ya kambi ya Benard Membe msaka urais kupitia Chama cha Mapinduzi, zimedokeza kuwa mtu wao huyo ana mzimu unamuandama.

Katika kufunguka kiduchu mtoa nyeti huyo anadai ndugu Membe katika harakati hizo na bidii ya kutafuta uungwaji mkono lakini Membe "hauziki" yaani ni kama bidhaa iliyododa.

Amefafanua kuwa mara kadhaa wamekuwa wakiwatafuta wajumbe wa CCM wakiwemo wabunge kuwaomba kumuunga mkono Membe na kukubaliwa lakini baada ya siku kadhaa wakiwarudia wajumbe haohao imekuwa kama wanaanza upya.

"Tunafanikiwa kuongea nao na kuwapa chao lakini baada ya siku chache au miezi michache tukiwarudia tunakuwa kama ndo tunatongoza upya" anazidi kusema "wengine wanadiriki kusema mtu wetu hauziki ni bidhaa iliyododa" Anaongeza: "hatujakata tamaa japo inavunja moyo"

Katika hatua nyingine mtoa nyeti amedokeza kuwa "Mheshimiwa wetu amekuwa akimhofu Lowassa na Wassira kuwa ndio washindani wake wakubwa japo Lowassa ni mgonjwa sana".
 
Hii mind game mtawachezea wajinga tu.Meneja mradi wa RICHMOND anawapanga vijana wake ambao sio creative.Habari mbaya kwenu nyote ni kwamba mjadala ni taasisi gani itakayotutoa hapa tulipo.CCM hata ilete Malaika haitazuia safari yao ya kwenye pipa la taka la kihistoria mwaka 2015.
 
Chagua maneno ya kutumia ndugu Benadeta, sijatumwa nimefikisha ujumbe kama ulivyovuja.
Hayo mengine ni wewe na itikadi yako mwenyewe maana 2015 hiyo mlangoni na Rais ajae hajajulikana bado.
 
Hii mind game mtawachezea wajinga tu.Meneja mradi wa RICHMOND anawapanga vijana wake ambao sio creative.Habari mbaya kwenu nyote ni kwamba mjadala ni taasisi gani itakayotutoa hapa tulipo.CCM hata ilete Malaika haitazuia safari yao ya kwenye pipa la taka la kihistoria mwaka 2015.

Msaga sumu a.k.a weka mbali na zzk .ukiacha mbali chama chako we mwenyewe huuziki hueleweki ni kijana au mzee yaani sura yako haitabiriki .
Huo ubunge utaishia kuusikia bombani sio wa segerea au kule Rombo.utaishia kutumiwa na wazee
 
Are u reffering to Saambili asubuhi..????? lol
 
Habari kutoka ndani ya
kambi ya Benard Membe msaka urais kupitia Chama cha Mapinduzi,
zimedokeza kuwa mtu wao huyo ana mzimu unamuandama.

Katika kufunguka kiduchu mtoa nyeti huyo anadai ndugu Membe katika
harakati hizo na bidii ya kutafuta uungwaji mkono lakini Membe
“hauziki” yaani ni kama bidhaa iliyododa.

Amefafanua kuwa mara kadhaa wamekuwa wakiwatafuta wajumbe wa CCM
wakiwemo wabunge kuwaomba kumuunga mkono Membe na kukubaliwa lakini
baada ya siku kadhaa wakiwarudia wajumbe haohao imekuwa kama wanaanza
upya.

“Tunafanikiwa kuongea nao na kuwapa chao lakini baada ya siku chache
au miezi michache tukiwarudia tunakuwa kama ndo tunatongoza upya”
anazidi kusema “wengine wanadiriki kusema mtu wetu hauziki ni bidhaa
iliyododa” Anaongeza: “hatujakata tamaa japo inavunja moyo”

Katika hatua nyingine mtoa nyeti amedokeza kuwa “Mheshimiwa wetu
amekuwa akimhofu Lowassa na Wassira kuwa ndio washindani wake wakubwa
japo Lowassa ni mgonjwa sana”.
Mzimu wa Membe ni ule unaokuandama wewe mtoa hoja na Lowassa.
 
Hakuna cha mzimu wala Ruhani.
2015 CCM ni tupia kwenye Dustibin
 
Hii mind game mtawachezea wajinga tu.Meneja mradi wa RICHMOND anawapanga vijana wake ambao sio creative.Habari mbaya kwenu nyote ni kwamba mjadala ni taasisi gani itakayotutoa hapa tulipo.CCM hata ilete Malaika haitazuia safari yao ya kwenye pipa la taka la kihistoria mwaka 2015.
Mkuu, you need to take a time out, kwanini unatumia lugha za maudhi badala ya kujadili hoja? This is not you, If is frustration, don't allow it to take best of you. Umejijengea heshima kubwa sana baada ya kuwafichua wabinyaji wa mageuzi (Shoza na Mwambapa), but be careful with your language
 
Hakuna cha mzimu, tunguli wala karolite, watawala gani hamuishi kuombea taabu kwa wananchi ili mpate urahisi wa kuendelea kuwatawala kwa uongo na ahadi zisizotekelezwa huku mkihamisha rasilimali za nchi kila uchao.
 
Mimi kwa mtazamo wangu na kwa jinsi nilivyomsoma huyu nyoka wa mdimu, wala mudhihiri hakukosea kumwitajinahilo. Ni kiongozi hatari kwa kuwa hana msimamo. Kuna mifano mingi lakini ngoja niwarejeshe kwenye kauli zake mbili tofauti lakini zinazokinzana kuhusu shetani. Alipokuwa anapigania Tanzania kujiunga na OIC alisema (si nukuu rasmi) 'tunahitaji kujiunga na jumuiya hii kwa sababu nchi yetu ni maskini kwa hiyo tutatafuta pesa hata ikibidi kwa shetani" Ok, Tuangalie kauli nyingine inayokinzana na hii. 'Hatupo tayari kutetea ushoga kwani ni kinyume na maadili yetu. Kama ni umaskini,ni bora tubaki maskini kuliko kupokea misaada ya shetani" Kauli hii aliisema baada ya Cameroun kutishia kuwa nchi tajiri hazitatoa misaada kwa nchi ambazo zinapinga ushoga.
 
mnasingizia mizimu wakati wenyewe hamueleweki eleweki mnakanyagana nyinyi kwa nyinyi mfyono mnatuchefua amani tunaipenda na watu wenyewe hamueleweki basi uvundo mtupu kila mtu anataka kwenda ikulu matafikili mnaenda sokon ikulu si sokoni jamani he
 
Hii mind game mtawachezea wajinga tu.Meneja mradi wa RICHMOND anawapanga vijana wake ambao sio creative.Habari mbaya kwenu nyote ni kwamba mjadala ni taasisi gani itakayotutoa hapa tulipo.CCM hata ilete Malaika haitazuia safari yao ya kwenye pipa la taka la kihistoria mwaka 2015.
Jina lako ni benadeta au benadoto? CHADEMA NAWAAMBIENI HUYU NDIO ADUI NUMBER MOJA WA CHADEMA,SIJUI KWA NN UZITO WA KABWELA HAKUKUPELEKA POLISI NA ILE SUMU YAKO,hivi wewe ni secretary wa nani kati ya wasaliti wa Chadema?
 
Mimi kwa mtazamo wangu na kwa jinsi nilivyomsoma huyu nyoka wa mdimu, wala mudhihiri hakukosea kumwitajinahilo. Ni kiongozi hatari kwa kuwa hana msimamo. Kuna mifano mingi lakini ngoja niwarejeshe kwenye kauli zake mbili tofauti lakini zinazokinzana kuhusu shetani. Alipokuwa anapigania Tanzania kujiunga na OIC alisema (si nukuu rasmi) 'tunahitaji kujiunga na jumuiya hii kwa sababu nchi yetu ni maskini kwa hiyo tutatafuta pesa hata ikibidi kwa shetani" Ok, Tuangalie kauli nyingine inayokinzana na hii. 'Hatupo tayari kutetea ushoga kwani ni kinyume na maadili yetu. Kama ni umaskini,ni bora tubaki maskini kuliko kupokea misaada ya shetani" Kauli hii aliisema baada ya Cameroun kutishia kuwa nchi tajiri hazitatoa misaada kwa nchi ambazo zinapinga ushoga.
Hee! kumbe ndivyo alivyo, ahsante kwa taarifa mkuu.
 
Hii mind game mtawachezea wajinga tu.Meneja mradi wa RICHMOND anawapanga vijana wake ambao sio creative.Habari mbaya kwenu nyote ni kwamba mjadala ni taasisi gani itakayotutoa hapa tulipo.CCM hata ilete Malaika haitazuia safari yao ya kwenye pipa la taka la kihistoria mwaka 2015.
Kamanda ben saa8 I salute you.wewe ni hazina kuu ndani ya chadema. Big up sana...huna tamaa ya cheo wala pesa.tunahitaji vijana makini kama wewe ben saa8.chunga magamba wasikununue.
 
Jina lako ni benadeta au benadoto? CHADEMA NAWAAMBIENI HUYU NDIO ADUI NUMBER MOJA WA CHADEMA,SIJUI KWA NN UZITO WA KABWELA HAKUKUPELEKA POLISI NA ILE SUMU YAKO,hivi wewe ni secretary wa nani kati ya wasaliti wa Chadema?

Acha kumchafua kamanda wetu.mwaka huu magamba mtaisoma number.
 
Back
Top Bottom