Mwenyekiti wa UVCCM KORTINI

Mwenyekiti wa UVCCM KORTINI

olengai

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
308
Reaction score
65
Mwkit wa UVCCM wilaya ya Arumeru Magharibi jmbo la Naibu waziri wa Ardhi Godluck ole Medeye, BONFAS LAIZER, amehukumiwa kifungo au kulipa fain na Mahakama ya Maromboso iliyopo katikat ya jiji la Arusha kwa kosa la kutapeli wananchi pesa za shamba.

Mwenykt huyo amekuwa na kawaida ya kutapeli wananchi kwa kuuza viwanja mara mbili na kutokomea na pesa za wananchi.tayari mh huyo alievaa viatu vya serikali yake kwa utapeli,amechagua kulipa fain ya laki 6 na ameshalipa laki3. Ndg Bonifasi ameacha vurugu kubwa sana ndani ya umoja huo wa vijana wa CCM kwan tayari wana-CCM wenyewe wameanza kumkataa kiongoz huyo na saini 20 za wana-CCM za kutokuwa na imani nae ili wamwondoe.

Hatua hiyo ya kukusanya sain imekuja wakati kukiwa na taarifa kuwa baadhi ya wanachama wanataka kukihama chama hcho kujiunga na CHADEMA, na pia kusikia taarifa kuwa M4C inataka kutua kwa Ole Medeye kuivuruga CCM.

SOURCE: Sunrise Redio ya Arusha..
 
Mwkit wa uv ccm wilaya ya Arumeru magharibi jmbo la naibu waziri wa ardhi Godluck ole Medeye, BONFAS LAIZER, amehukumiwa kifungo au kulipa fain na mahakama ya maromboso iliyopo katikat ya jiji la Arusha kwa kosa la kutapeli wananchi pesa za shamba.mwenykt huyo amekuwa na kawaida ya kutapeli wananchi kwa kuuza viwanja mara mbili na kutokomea na pesa za wananchi.tayari mh huyo alievaa viatu vya serikali yake kwa utapeli,amechagua kulipa fain ya laki 6 na ameshalipa laki3. Ndg Bonifasi ameacha vurugu kubwa sana ndani ya umoja huo wa vijana wa ccm kwan tayari wanaccm wenyewe wameanza kumkataa kiongoz huyo na saini 20 za wanaccm za kutokuwa na imani nae ili wamwondoe.
Hatua hiyo ya kukusanya sain imekuja wakati kukiwa na taarifa kuwa baadhi ya wanachama wanataka kukihama chama hcho kujiunga na cdm, na pia kusikia taarifa kuwa m4c inataka kutua kwa ole medeye kuivuruga ccm.
SOURCE: sunrise redio ya Arusha..
Anatekeleza ilani ya Uchaguzi ya CCM ambayo ameapa kuilinda
 
Ha ha haaaa! Kwani hiyo ilani inatetea utapeli? Hiyo ni tabia ya mtu na tabia haina dawa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
naona kama changa la macho uhenda sheria ikapindishwa.
 
Huyo ni kijana mzuri anayefuata nyayo za wazee wa EPA,RICHMOND,KAGODA e.t.c Si mnajua hata jogoo alikuwa yai!
 
Au wiki hii ni ya kubandua MAGAMBA nini ? Mbona Kila kona wanadhalilika tu !
 
Mwkit wa uv ccm wilaya ya Arumeru magharibi jmbo la naibu waziri wa ardhi Godluck ole Medeye, BONFAS LAIZER, amehukumiwa kifungo au kulipa fain na mahakama ya maromboso iliyopo katikat ya jiji la Arusha kwa kosa la kutapeli wananchi pesa za shamba.mwenykt huyo amekuwa na kawaida ya kutapeli wananchi kwa kuuza viwanja mara mbili na kutokomea na pesa za wananchi.tayari mh huyo alievaa viatu vya serikali yake kwa utapeli,amechagua kulipa fain ya laki 6 na ameshalipa laki3. Ndg Bonifasi ameacha vurugu kubwa sana ndani ya umoja huo wa vijana wa ccm kwan tayari wanaccm wenyewe wameanza kumkataa kiongoz huyo na saini 20 za wanaccm za kutokuwa na imani nae ili wamwondoe.
Hatua hiyo ya kukusanya sain imekuja wakati kukiwa na taarifa kuwa baadhi ya wanachama wanataka kukihama chama hcho kujiunga na cdm, na pia kusikia taarifa kuwa m4c inataka kutua kwa ole medeye kuivuruga ccm.
SOURCE: sunrise redio ya Arusha..

kosa la utapeli lina faini kweli, swindling people out of their money is a criminial act

this man has committed THREE SERIOUS OFFENCES
FORGERY
PERJURY
STEALING
Halafu analipa faini ?? na kwenda nyumbani that is insane the judge should be taken off the bench
 
Kiongozi safi ni yule asiyepatikana na hatia mbele ya mahakama. Kama hatekelezi ilani ya chama alipaswa afutwe hadi uanachama
 
Mwenyekiti wao alianza kuiba ubwabwa toka yuko jkt ..so hawa sifa yao kubwa kuwa kiongoZi ni lazima uwe umewahi kuiba hata ubwabwa..
 
Nashauri kwamba hakuna haja ya Lema kwenda kuweka nguvu kuuuuuuubwa kwa huyo jirani yake maana watu watamchoka Lema. Hii ni kutokana na ukweli kwamba Arusha mjini na Arumeru Magharibi ni pua na mdomo! hivyo washaa zoea harakati za Lema. Yeye a-organize vijana wake na wabunge kadhaa namna ya kutomzidishia Medeye kura kumi.
 
...kijana ameiva ki itikadi,anaweza sasa kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya...
 
Hahahahahaaaaa....... CCM bana,,, wote wanafanana sjui wanasomea wapi maana inaelekea mwalimu wao mmoja!
 
Back
Top Bottom