Nimesikitishwa sana na kauli iliyonukuliwa kutolewa na Nape Nnauye(Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM).
Gazeti la MAWIO la tarehe 8/8/2013 toleo namba 055 ukurasa wa 5 lililikua na kichwa cha...
kuna kila dalili sasa ccm itakufa kifo kibaya sana 2015, MTU makimi hakika atakubaliana na Mimi kuwa chama hiki kizee kitagawanyika katika vipande vitatu, kuna kundi ambalo vijana wa lowasa kwa...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Katikati ya Rais na...
WAPINZANI WACHEZEA KICHAPO KIBONDO
Katika hali inayothibitisha ule usemi wa mwanamuziki Chamilion wa Uganda kuwa "fitina yako bahati yangu" wapinzani wamechezea kichapo cha mwaka kwenye...
kuna sababu nyingi za kuikataa ccm katika chaguzi zinazoendelea sasa.ZIFUATAZO NI BAADHI TU YA SABABU.
1.kuonyesha kuwa hatukubaliani na serikali kufanya ufisadi.
2.kuonyesha kuwa hatukubaliani...
ni mwaka huu na hasa siku ya leo nimekuwa nikiitafakari sana sikukuu ya NANE NANE na baadaye sijapata tena kuielewa sikukuu hii kwa maana halisina pia kumwelewa msimamizi hasa ni nani ama ni kundi...
Ndtugu wanaja jf. Napendekeza kamati kuu ya chama chetu iwatumie Wanasheria wetu kuwaburuza wanajigamba majukwaani kuwa Chadema ni Magaidi.Faida zake ni kuwaeleza watanzania kuwa Chadema siyo...
Salaamu sana JF!
Mimi ni mfuatiliaji sana wa mambo ya siasa katika nchi yetu iliyojaaliwa kuwa na amani yenye mashaka kwa wananchi wake,
Nimekuwa nikifuatilia siasa za chama tawala (CCM) na...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
WILAYA YA ILEMELA.
TAARIFA KWA UMMA
CHADEMA Wilaya ya Ilemela tumekuwa katika mfululuzo wa mikutano pamoja na mbunge wa jimbo la Ilemela Mh Highness Kiwia...
Wana Jf
Here are the Quality of Good Leader in any Democratic Nation..
1.Transparence and respectfull to public Resources
2.Non-corrupt Person
3.One who respects other opinions and has a...
Wana jf leo najitokeza kuandika mada hii nikiwa sina raha hasa kwa serikali hii inavyoendesha nchi.
Ndg wadau, nchi hii imechafuka,aman imetoweka cha kushangaa hao hao wanokamata raia na kuwatesa...
Kama ilivyotangazwa awali CHADEMA leo wamefanya mkutano mkubwa wa hadhara katika jimbo la Ukonga Eneo la Mazizini.
Mkutano huo ulihutubiwa na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa John Heche akishirikiana...
Wakati umri pendekezwa wa chini kwa mgombea wa uraisi ni miaka 40, napendekeza pia mgombea huyo asiwe na umri zaidi ya miaka 60, ili atakapo tumikia vipindi viwili kisheria, awe na miaka 70!!!!
MAMIA ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiongozwa na mheshimiwa Rais Kikwete usiku huu wamemzika aliyekuwa mkuu wa idara ya usalama wa taifa[TISS] kanda ya Dar es salaam[mstahafu] bwana Haidar...
CHADEMA INAJITENGENEZEA MATUKIO ILI KUJITANGAZA KISIASA!.
~Tukio la bomu Arusha.
Askari aliyevaa nguo ya jeshi aja na gari ya polisi na kurusha bomu kwenye mkutano wa chadema kweupe na...
Joseph Warioba, Chairman of the Constitutional Review Commission (CRC)
The Chairman of the Constitutional Review Commission (CRC), Joseph Warioba, has expressed concern on the weight placed by...
Mwanasiasa kijana kutoka chama cha mapinduzi (CCM) Paul Makonda kesho atakuwepo katika kituo cha televisheni cha Star TV katika kipindi cha tuongee asubuhi saa 1:30am.
Makonda mwanasiasa...
Ni wakati akijibu swali la mmoja wa wananchi aliyetaka kujua mikakati ya serikali katika kuboresha hali ya uchumi katika kata yao , ndipo mkuu wa wilaya alipojibu swali kwa mtindo wa swali ...
Ndg wana JF nimekuwa nikijiuliza HIVI Mtanzania yupi ambaye anaweza akaingia nchi jirani ya UGANDA, KIPINDI CHA MSIMU WA ZAO LA KAHAWA NA AKANUNUA HATA KILO MIA MOJA ILI AWEZE KUZIINGIZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.