Kwanini MODS wanahamisha hii HABARI na kuifanya HABARI MCHANGANYIKO? HII NI HABARI inayoigusa SIASA za NCHI YETU... Lazima tuijadili kama issue ya KISIASA... Tuache kupuuza Masuala NYETI!!!
Mimi nimepata ya kusoma na kufanya kazi marekani kwa kipindi kirefu kidogo.hawa jamaa wana kanuni nyingi wanazotumia zilizowawezesha kufika hapo walipo.moja ya hizo kanuni ni:'tafuta kilicho bora...
Ndugu wanajamvi!Nimefikiria sana kwamba ni nani CCM wanaweza kumsimamisha kwenye kiti cha uras 2015 ambaye si fisadi,mzalendo,asiye na makundi na asiyeyumbishwa sijaona isipokuwa Jaji Joseph Sinde...
MJADALA kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya umeanika sura halisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Kwamba wamepinga mambo yote ya maana katika rasimu hiyo si jambo la ajabu na inatukumbusha kwa mara nyingine...
Baada ya kumalizika Uchaguzi mdogo wa Udiwani uliokuwa ukifanyika ktk kata nne jijini Arusha,na kuiacha CCM na Viongozi wake midomo wazi kwa kutoambulia hata kata moja huku chama cha CHADEMA...
MZIMU wa kuchukua posho mbili kwa kazi moja uliowahi kuwaandamana wabunge wakati wa Bunge la tisa na kuzua mjadala mpana nchini, umeibukia katika kamati ya watalaamu watano iliyoundwa na Waziri wa...
Habari wakuu,
Kila Raisi wa nchi hii tangu awamu ya kwanza amewahi kuteua mtu(watu) ambao wamewahi kupata sifa na kukubalika kwa watanzania wengi kwa utendaji au uchapakazi wake.Wateule huwa ni...
Waziri wa EA wa Tz aling'aa sana tena kwa muda mfupi tu, nyota yake imezima ghafla kwa mbinu na njama za mafsadi.
Kosa la Sitta ni nini ktk siasa za TZ na uchumi wa TZ??
1. Kusema ukweli nusu...
Kumekuwepo na maneno mengi kumhusu DR. W. SLAA, na mimi c mshabiki sana wa majina ya watu lakini Kwa Dr. SLAA.. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni... nimeangalia makatibu wakuu na viongozi wote wa...
Ni ukweli usiopingika taifa ambalo vijana wake ambao ni nguvu kazi , wakijiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya ,sii tuu nchi itakuwa na watu mazezeta, pia nchi itakuwa masikini wa kutupwa na...
Unaposema "ghaidi" hupati maana hasa ya neno hilo katika Kiswahili. Kwenye lugha ya Kiingereza hata hivyo neno hili hutafsiriwa kama "terrorism". Msingi wa neno hilo ni nauni ya "terror". Hili...
Wakuu diwani wa chadema aliyekuwa anagombea nafasi ya uenyekiti wa halmashauri moja huko kigoma amepata kura tatu tu,hii ikanifanya niamini kuwa kweli chadema imechuja sana kigoma,make wapiga kura...
katika taarifa ya habari ya leo nimeshuhudia mawaziri wawili(yule wa mambo ya ndani na yule wa maliasili na utalii) wa JMT wakifika katika eneo la tukio.
sio muda mrefu tuliwahi kusikia mauaji ya...
Njia ya mwongo ni fupi. Mja huyu ana tabia ya kudanganya sana na alijizolea umaarufu pale alipowadanganya wana Arusha kwamba Dr. Batilda akishinda ubunge mwaka 2010 basi angeifunga kituo cha...
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha,JWTZ mkoani Mtwara limewakamata watu wanne kwa kosa la kushangilia Mdahalo uliokua unarushwa na kituo cha ITV siku ya jumapili ktk mada ya Amani na...
Filimbi imelia ccm leo inazikwa rasmi viwanja vya sahara mabibo kuanzia saa 9 mchana.
UPDATE
Watu wameanza kumiminika uwanjan natumia nokia E63 nifundishen namna ya kuapload picha.
UPDATE...
The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe, has ruled out the possibilities of mediation on the Lake Nyasa dispute within the interested countries (Tanzania...
Utawala wa Kichifu na siasa zake Tanzania. Kwa mfano utawala wa Chifu Makwaia wa Usiha - Shinyanga, Tanzania ulikuwa unachaguliwa vipi, mtawala-mtarajiwa Chifu alikuwa anapewa mafunzo gani na...
Kipindi karibia kinataka kuisha lakini washirika wa kipindi wametema cheche na kweli Kato anastahili kubadilishwa kama ndiyo mwendo huu .Wananchi wamewaja sana tuhuma nyingi mno kwa jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.