Nani gaidi tz? Mwigulu jibu

Nani gaidi tz? Mwigulu jibu

olengai

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
308
Reaction score
65
Wana jf leo najitokeza kuandika mada hii nikiwa sina raha hasa kwa serikali hii inavyoendesha nchi.
Ndg wadau, nchi hii imechafuka,aman imetoweka cha kushangaa hao hao wanokamata raia na kuwatesa ndo hao hao wanaoimba kuilinda aman.
Docta alitekwa,mwigulu akasema ni chadema,watu waliovaa kombat,mwigulu hakukamatwa akatoe ushahid,
polce wakasema ni mkenya,leo mkenya kaachiwa.mwigulu hajatoa ushahidi.
Kabla hajaisha hayo, mwigulu katengeneza video eti chadema magaidi kupitia kwa lwakatare.mwigulu kasema ana ushahidi tena akipga meza bungen na mawaziri,manaibu wazir,wabunge wa ccm,spika na naibu wake hata baadhi ya wale wanaojiita nao ni wapinzani wakacheka.

Ndg wanadau, wakati mwigulu akisema hayo bungeni,alisema atatoa ushahidi duniani na mbingun.mwigulu kashindwa kutoa ushahidi duniani, je ataweza kwenda kutoa mbingun ambapo ni gharama kubwa kwenda,?

Ndg wadau,haikutosha serikali ikawakamata tena na kuwabambikizia cdm kesi ya ugaidi,na cdm walivojpanga,wakaishinda serikali.nina huzuni sana kwa serikali kama hii badala ya kutafuta vyanzo vya mapato ili iongeze mishahara ya walimu na sekta nyingine,inawakamata wale wote wanaoikosoa serikali.

Mwigulu na serikal mmeishiwa sera,ni lini mwigulu utakuwa mkubwa? Ni lini utaacha hz sera chafu?

Ulikuja arusha ukasema cdm ni magaid msiwachague,hata jioni ya uchaguz haijafika,watu wa Arusha wakakupuuza,wakaichagua cdm chama unachodai ni gaidi.katibu wako kakukimbia kwa sera zako za ugaidi leo unamshtaki.

Ndg wadau,imefika mahali sasa kuwapuuza hawa kina mwigulu na wafanyakaz wake wtoswe na hata hawa wanaopost habari za kinyinga et chadema hawna sera, wao ndo wana sera za kuteka watu nao post zao zfutwe.

Wote tunatafuta ukomboz wa nchi yetu,ila wengine wanalipwa na kina mwigulu ili waonekane wao ndo wanapost habari nyingi zaidi. Mwigulu naomba ujibu nani gaidi kama si wewe???

Na lini utaacha ugaidi wa aina hii?
 
Wana jf leo najitokeza
kuandika mada hii nikiwa sina raha hasa kwa serikali hii inavyoendesha
nchi.
Ndg wadau, nchi hii imechafuka,aman imetoweka cha kushangaa hao hao
wanokamata raia na kuwatesa ndo hao hao wanaoimba kuilinda aman.
Docta alitekwa,mwigulu akasema ni chadema,watu waliovaa kombat,mwigulu
hakukamatwa akatoe ushahid,
polce wakasema ni mkenya,leo mkenya kaachiwa.mwigulu hajatoa ushahidi.
Kabla hajaisha hayo, mwigulu katengeneza video eti chadema magaidi
kupitia kwa lwakatare.mwigulu kasema ana ushahidi tena akipga meza
bungen na mawaziri,manaibu wazir,wabunge wa ccm,spika na naibu wake hata
baadhi ya wale wanaojiita nao ni wapinzani wakacheka.

Ndg wanadau, wakati mwigulu akisema hayo bungeni,alisema atatoa ushahidi
duniani na mbingun.mwigulu kashindwa kutoa ushahidi duniani, je ataweza
kwenda kutoa mbingun ambapo ni gharama kubwa kwenda,?

Ndg wadau,haikutosha serikali ikawakamata tena na kuwabambikizia cdm
kesi ya ugaidi,na cdm walivojpanga,wakaishinda serikali.nina huzuni sana
kwa serikali kama hii badala ya kutafuta vyanzo vya mapato ili iongeze
mishahara ya walimu na sekta nyingine,inawakamata wale wote wanaoikosoa
serikali.

Mwigulu na serikal mmeishiwa sera,ni lini mwigulu utakuwa mkubwa? Ni
lini utaacha hz sera chafu?

Ulikuja arusha ukasema cdm ni magaid msiwachague,hata jioni ya uchaguz
haijafika,watu wa Arusha wakakupuuza,wakaichagua cdm chama unachodai ni
gaidi.katibu wako kakukimbia kwa sera zako za ugaidi leo unamshtaki.

Ndg wadau,imefika mahali sasa kuwapuuza hawa kina mwigulu na wafanyakaz
wake wtoswe na hata hawa wanaopost habari za kinyinga et chadema hawna
sera, wao ndo wana sera za kuteka watu nao post zao zfutwe.

Wote tunatafuta ukomboz wa nchi yetu,ila wengine wanalipwa na kina
mwigulu ili waonekane wao ndo wanapost habari nyingi zaidi. Mwigulu
naomba ujibu nani gaidi kama si wewe???

Na lini utaacha ugaidi wa aina hii?

gaidi ni yule aliyekamatwa na polisi japo kaachiwa na mahakama
 
Wana jf leo najitokeza kuandika mada hii nikiwa sina raha hasa kwa serikali hii inavyoendesha nchi.
Ndg wadau, nchi hii imechafuka,aman imetoweka cha kushangaa hao hao wanokamata raia na kuwatesa ndo hao hao wanaoimba kuilinda aman.
Docta alitekwa,mwigulu akasema ni chadema,watu waliovaa kombat,mwigulu hakukamatwa akatoe ushahid,
polce wakasema ni mkenya,leo mkenya kaachiwa.mwigulu hajatoa ushahidi.
Kabla hajaisha hayo, mwigulu katengeneza video eti chadema magaidi kupitia kwa lwakatare.mwigulu kasema ana ushahidi tena akipga meza bungen na mawaziri,manaibu wazir,wabunge wa ccm,spika na naibu wake hata baadhi ya wale wanaojiita nao ni wapinzani wakacheka.

Ndg wanadau, wakati mwigulu akisema hayo bungeni,alisema atatoa ushahidi duniani na mbingun.mwigulu kashindwa kutoa ushahidi duniani, je ataweza kwenda kutoa mbingun ambapo ni gharama kubwa kwenda,?

Ndg wadau,haikutosha serikali ikawakamata tena na kuwabambikizia cdm kesi ya ugaidi,na cdm walivojpanga,wakaishinda serikali.nina huzuni sana kwa serikali kama hii badala ya kutafuta vyanzo vya mapato ili iongeze mishahara ya walimu na sekta nyingine,inawakamata wale wote wanaoikosoa serikali.

Mwigulu na serikal mmeishiwa sera,ni lini mwigulu utakuwa mkubwa? Ni lini utaacha hz sera chafu?

Ulikuja arusha ukasema cdm ni magaid msiwachague,hata jioni ya uchaguz haijafika,watu wa Arusha wakakupuuza,wakaichagua cdm chama unachodai ni gaidi.katibu wako kakukimbia kwa sera zako za ugaidi leo unamshtaki.

Ndg wadau,imefika mahali sasa kuwapuuza hawa kina mwigulu na wafanyakaz wake wtoswe na hata hawa wanaopost habari za kinyinga et chadema hawna sera, wao ndo wana sera za kuteka watu nao post zao zfutwe.

Wote tunatafuta ukomboz wa nchi yetu,ila wengine wanalipwa na kina mwigulu ili waonekane wao ndo wanapost habari nyingi zaidi. Mwigulu naomba ujibu nani gaidi kama si wewe???

Na lini utaacha ugaidi wa aina hii?

Unajarbu potosha ukweli lkn mwenye akil zake timamu anajua kuwa CDM ndo magaidi na mnaratibu ugaidi hapa nchini,hzo kesi kuondolewa majin ya Ugaidi haufuti mashtaka yanayowakali kna Lwakatare na Kileo na wenzao,kupanga njama kumteka bnadam mwenzako sio Ugaid huo,mahakama umetoa tina tu la Ugaid ili kuiepusha nchi n maporomoko ya kitalii na uchumi pia bt ukweli unabak pale pale kuwa n Magaidi!!!
 
kwa hiyo serikali yako ni legelege isiyojua sheria kuwa mtu gaidi hana kesi ya kujbu? Kwn utalii umeanza kupungua leo? Utalii umepungua kwa sababu mmeiba wanyama wote kwenye hifadhi zote, madini yote mnawapa kina obama, gesi ya mtwara leo mnampa mchina kisa mtoto wa mkubwa anaepishwa kunyongwa kwa madawa ya kulevya.unafikiri hatujui?
Ni sheria gani inaruhusu mwalifu asifungwe et kisa ataharibu utalii!! Ndo maana ridhiwani hajanyongwa ee,
 
Unajarbu potosha ukweli lkn mwenye akil zake timamu anajua kuwa CDM ndo magaidi na mnaratibu ugaidi hapa nchini,hzo kesi kuondolewa majin ya Ugaidi haufuti mashtaka yanayowakali kna Lwakatare na Kileo na wenzao,kupanga njama kumteka bnadam mwenzako sio Ugaid huo,mahakama umetoa tina tu la Ugaid ili kuiepusha nchi n maporomoko ya kitalii na uchumi pia bt ukweli unabak pale pale kuwa n Magaidi!!!

Ole wenu nyie mnaoshabikia udhalimu huu unaotendwa na serikali. Kumbukeni msemo huu wa kiingereza,"What goes arround always come back arround."
 
Cha kufanya ni kuwafungulia mashtaka wote hao wanaoimba chadema ni magaidi. Itakuwa fundisho na bongo ya kete la USHINDI 2014/2015.
 
kwa tafsiri yangu ugaidi ni tendo la kuteka, kudhuru na kutishia watu ama kuwatia watu hofu katika nchi ama sehemu ya nchi...
-Magaidi walimteka Dr Ulimboka, wakamdhuru, wakawatishia madktari wasiendelee kugoma...
-Magaidi walimteka Kibanda, kisha wakamdhuru huku wakitishia waandishi wasiendelee kuwaanika wanaofisadi nchi hii
-Magaidi walimshambulia Daudi Mwangosi, kisha wakamuua kwa ukatili na unyama first degree huku wakiwatisha wananchi wasishiriki shughuli za siasa
-Magaidi waliwalipua wananchi wa Arusha ktk mkusanyiko wa kisiasa, kisha wakawatisha wasiende kupiga kura ..
....Gazeti la Mwanahalisi lilitusaidia sana kuwajua MAGAIDI na GAIDI .... tafuta nakala ya gazeti husika hapana shaka majibu yatakuwa CCM ni kikundi cha kigaidi kinachoratibu na kuua thru police wao ...
 
Back
Top Bottom