Sabato masalia
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 228
- 134
MAMIA ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiongozwa na mheshimiwa Rais Kikwete usiku huu wamemzika aliyekuwa mkuu wa idara ya usalama wa taifa[TISS] kanda ya Dar es salaam[mstahafu] bwana Haidar Juma Zuber katika makaburi ya Kisutu, Zuberi alifariki Jumatatu iliyopita nchini India alikokwenda kwa matibabu.
Namkumbuka Zuberi kwa machachari yake enzi ile akiwa na akina marehemu Benard Walingozi, marehemu Petter Kuhanwa, marehemu Nyinondi, marehemu Iddy Salum Kikuzi, marehemu Dakta Luvanga. Kamage[yu hai],Adam Kissu[yu hai], mzee Makota [yu hai]
Mazishi hayo pia yalihudhuriwa na Rais mstahafu mzee Miwnyi, waziri wa mambo ya nje bwana Bedard Membe na mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa Rashid Othman Mzinga.