PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Unatoa ushauri gani kwa chadema na viongozi wake ili kienelee kusonga mbele
sidhani kama hili linaukweliwaache udini,ukabila na ukanda utawamaliza
Tambala hapa wanaongelea CDM siyo CCM mkuu!Waache udini,ukabila na ukanda utawamaliza
tambala hapa wanaongelea cdm siyo ccm mkuu!
Ccm mnajulikana kuwa kwa muda mrefu sasa mmewafelisha watoto wa kiislam, mmewanyima fursa za kimaendelea mikoa yenye waislam kama lindi, mtwara na tanga... Ccm mmekuwa mkiwapakazia cuf kuwa ni chama cha waislam na kuwadhalilisha waislam eti wameingiza majambia ya kuchinjia watu!
Ccm mmekuwa mkisema kuwa rais wa nchi hii hawezi kutoka kaskazini, ccm mmekuwa mkinadi kuwa cdm ni chama cha wachaga wakati ndani ya uchagani kuna wabunge wengi wa ccm!?
Ccm mmekuwa mkiwashinikiza waislam wasijikomboe na wasimiliki miradi yenye kuwaletea maendeleo, mali za emws karibu zote mmeuza thru bakwata... Ccm mmewagawa waislam watanzania kiasi kwamba hata mwezi umeonekana tabora na leo ilipaswa kuwa sikukuu ya idd lakini bakwata wamekataa kutangaza eti itakuwa wamewafuata answar ...ccm ndiyo mama na bibi wa ubaguzi katika nchi yetu... Bahati nzuri waislam wa sasa tumesoma tunajua mbaya wetu... Ndani ya cdm watu wote tutapata fursa sawa za maendeleo...
chadema haijawahi kumshika mtu na kumpeleka kwenye maandamano,wanajitokeza kwa mapenzi yao ya dhati kwa chademaAcheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.
Unatoa ushauri gani kwa chadema na viongozi wake ili kienelee kusonga mbele
hatuta badilisha uongozi kwasababu nyie ccm au mtu mwingine yoyote anataka bali tutafanya hivyo kwa mujibu wa taratibu za kichama na katiba.Wamwogope Mungu wao,wasitupige mabomu kwa lengo la kujiongezea umaarufu kupitia udhaifu wa jeshi la Polis,watuwang'oe kucha tena watu,uongoz wa juu ubadilishwe na ntafurah akitoka kiongoz asie mzawa wa Kaskazin.
Waache udini,ukabila na ukanda utawamaliza
Tambala hapa wanaongelea CDM siyo CCM mkuu!
CCM mnajulikana kuwa kwa muda mrefu sasa mmewafelisha watoto wa kiislam, mmewanyima fursa za kimaendelea mikoa yenye waislam kama lindi, mtwara na tanga... CCM mmekuwa mkiwapakazia CUF kuwa ni chama cha Waislam na kuwadhalilisha waislam eti wameingiza majambia ya kuchinjia watu!
CCM mmekuwa mkisema kuwa Rais wa nchi hii hawezi kutoka kaskazini, CCM mmekuwa mkinadi kuwa CDM ni chama cha wachaga wakati ndani ya uchagani kuna wabunge wengi wa CCM!?
CCM mmekuwa mkiwashinikiza Waislam wasijikomboe na wasimiliki miradi yenye kuwaletea maendeleo, mali za EMWS karibu zote mmeuza thru BAKWATA... CCM mmewagawa waislam watanzania kiasi kwamba hata mwezi umeonekana Tabora na leo ilipaswa kuwa sikukuu ya idd lakini BAKWATA wamekataa kutangaza eti itakuwa wamewafuata ANswar ...CCM ndiyo mama na bibi wa ubaguzi katika nchi yetu... Bahati nzuri waislam wa sasa tumesoma tunajua mbaya wetu... Ndani ya CDM watu wote tutapata fursa sawa za maendeleo...