Ntemi wa Nassa
Member
- Aug 6, 2013
- 42
- 57
kuna kila dalili sasa ccm itakufa kifo kibaya sana 2015, MTU makimi hakika atakubaliana na Mimi kuwa chama hiki kizee kitagawanyika katika vipande vitatu, kuna kundi ambalo vijana wa lowasa kwa sasa wanahaha kulisuka lengo lao kuu ni kuwagawa wapinzani wao. mpango huo UK o mbioni kukamilika . mpango huo ndio utakichimbia kaburi ccm kwani utaacha makovu makubwa sana ambayo hayatatibika kamwe. kundi La mafisadi litazofika na wapambanaji wa mafisadi nao watakuwa hoi.