CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
CHADEMA INAJITENGENEZEA MATUKIO ILI KUJITANGAZA KISIASA!.
~Tukio la bomu Arusha.
Askari aliyevaa nguo ya jeshi aja na gari ya polisi na kurusha bomu kwenye mkutano wa chadema kweupe na kukimbia. Haraka sana Chadema walaani tukio lile hata kabla ya kuzika na kutangaza kuwa wanaushahidi wa nani amefanya.!!!
~Dar es salaam Bomu laripuka bahati mbaya mbele ya mbunge wa chadema mh Mnyika!!!.
~Matukio ya wabunge wao bungeni ya mtindo wa kulianzisha na kuteka vyombo vya habari kwa hoja ya kuonewa na Spika kutetea maliasili za watanzania!!!
~Mauaji ya Daudi Mwangosi yaliotekelezwa na polisi mbele ya wananchi. Kitu chenye ncha kali chatua tumboni mwa marehemu Mwangosi baada ya hapo mkanda watolewa ukionyesha nani muuaji na kugeuka mtaji wa chama kuomba misaada ulaya kwahoja ya kuonewa.
Few to mention.
Jamani nahisi kizunguzungu. Hivi hawa polisi ni wajinga kiasi hiki au kuna jambo hapa?
Nitoeni kizungumkuti mwenzenu kwahoja sio mapovu.