Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa Edward Lowasa mpaka sasa ameshatumia zaidi ya bilioni 3 kuchangia vikundi, makanisa na misikiti mbalimbali, Japo juzi alitangaza kuwa ni michango ya marafiki zake, bilioni 3 fedha za...
6 Reactions
51 Replies
6K Views
Ni katika hali isiyokuwa ya kawaida Mr Mbatia anaiomba serikali kuunda tume ya kudumu kwa ajiri ya kufuatilia maswala ya elimu kwa kile anachokiita yeye ni ubabaishaji kwenye sekta ya elimu uku...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Tamasha kubwa la kuadhimisha siku ya kimataifa ya vijana litafanyika litafanyika Jijini Mwanza next Monday 12/08/2013. Mgeni rasmi atakuwa Mh. Waziri wa Uchukuzi Dr. Harison Mwakyembe, pia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kikwete anazidi kuongeza maadui! Alianza na Malawi, M23 na sasa Rwanda. Inawezekana ni kwa sababu mti wenye matunda mabivu ndiyo hurushiwa mawe? Au inawezekana kweli Rais wetu ni tatizo kwa nchi...
14 Reactions
639 Replies
52K Views
Hatimaye CCM kata ya Tabata wapigwa bao na Chadema baada ya Chadema sasa kuanza maandalizi ya kuchukua dola kuanzia ngazi za chini mpaka juu baada ya kuanza kujenga ngazi ya misingi na matawi kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Arusha. Mahabusu zaidi 60 wanaoshikiliwa katika Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, eneo la Kisongo, nje kidogo ya Arusha, jana waligoma kushuka kutoka kwenye basi la Magereza lililowapeleka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Akizungumza jana kwenye mkutano wa Chama cha Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), kujadili mchakato wa Mabadiliko ya Katiba, Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Esther Bulaya alisema wanafanya kazi nchi...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Kipigo cha MDC Zimbabwe na ushindi wa kishindo wa Mugabe ni salaam tosha kwa wapinzani nchini jinsi wanavyoendesha siasa na kujenga matumaini yasiyokuwa na msingi wa kweli. Ukiangalia kampeni...
17 Reactions
320 Replies
25K Views
Kumekuwepo hoja zinazotolewa na kuwatisha wazanzibari kwamba kutokana na udogo wake kama nchi, tofauti na Tanganyika, Zanzibar haitaweza kujiendesha yenyewe kiuchumi iwapo itajitenga na muungano...
32 Reactions
168 Replies
17K Views
- Mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa Wazazi/CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mheshimiwa Bulembo leo umevunja record zote kwa kuhudhuriwa na wananchi wengi sana na hatimaye Wanachama 365...
1 Reactions
111 Replies
10K Views
Rais Jakaya Kikwete kesho julai 24 anaanza ziara ya siku tano katika mkoa wa Kagera ambapo mbali na shughuli za maendeleo pia atashiriki kumaliza mgogoro wa kisiasa kati ya mbunge Kagasheki na...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mimi naipenda CHADEMA na namkubari Dr Slaa kwa kuwa na msimamo dhabiti hasa kupigania maslahi ya wanyonge, kiukweli CCM siipendi kwa sababu ya kushindwa kufanya yale tunayoyataka wananchi, Pia...
15 Reactions
125 Replies
11K Views
Japo ni ukweli kuwa kwa sasa kuna mtanzania mmoja mwenye sifa kemkem ambaye bila shaka atasaidia sana akiingia ikulu ya Tz, Mpinzani huyo amethibitisha uongozi wake bora akiwa na wadhifa wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaam ndugu WanaJF. Katika hali isiyotarajiwa mkuu wa mkoa wa Mara ndugu John Tuppa ametoa maagizo ya kufukuzwa/kuhamishwa kwa nguvu kwa wafugaji wa makabila mawili ya Wakurya na Wasukuma...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Kamati ya Maridhiano Six: MKUTANO WA CUF MATEMWE; 09/06/2013; - YouTube
0 Reactions
1 Replies
941 Views
DPP Eliezer Feleshi Wakati Jeshi la Polisi likidai kupeleka jalada la uchunguzi wa matukio ya kusafirisha dawa za kulevya kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), kiongozi huyo amekana kupokea jalada...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wana JF, Katika hali ya kushangaza wananchi wa wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma hawajui CHADEMA ni nini! Hili limeshangaza viongozi wa CHADEMA waliofika wilayani humo katika kuhamasisha wananchi...
1 Reactions
85 Replies
9K Views
CCM BADO INA IMANI KUBWA NA TUME YA KATIBA Nape Nnauye NA MWANDISHI WETU CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) kimesema bado kina imani na Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, katika mchakato unaoendelea...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ametahadharisha wanaowania urais 2015 kwa kusema ushindi wa urais haupatikani kwa kuandikwa sana kwenye magazeti bali...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Tofauti na baadhi ya watu wanavyodhani kuhusu mchakato wa kuandikwa kwa katiba mpya, kwa sasa wanaCCM wengi wenye uelewa mpana tunataka uwepo wa serikali ya Tatu ya Tanganyika. Wakati kukiwa na...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom