Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nitumieni nafasi hii kuwaomba makamanda wote wa CHADEMA wakiongozwa na Kamanda wa Anga F.Mbowe wafike Jimboni Kwa Mtoto wa mkulima. Mashambulizi yanayofanywa maeneo ya Hai yanatakiwa yafanyike...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama mnakumbuka, Mheshimiwa wetu mpendwa Jakaya mwana wa Kikwete alitoa ahadi (moja kati ya mamilioni ya ahadi alizokwishatoa so far) kuwa atawanunulia wanawake wajawazito Bajaji mia nne ili...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Vijana wetu wanahitaji mdahali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona ukimya mkubwa juu ya swala la kinana kutuhumiwa kushiriki katika ujangili wa tembo. Kwa mara ya mwisho Kinana alitoa tamko kumfikisha Msigwa mahakamani kumdai fidia kwa kumdhalilisha. Hata...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Micheweni. Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wametoa mapendekezo ya pamoja wakitaka mambo matano yaondolewe kwenye Muungano, yabaki...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni wazi kuwa ccm imekuwa na ubia na polisi, aidha wote wakipanga njama za kukihujumu chadema kwa njia mbalimbali: kuzuia baadhi ya mikutano ya chadema, kutishia mipango na mikakati ya kisiasa ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nina gazeti la jana la London Evening Standard.Ni gazeti linalotolewa free kwenye station zote za reli.Linasomwa na watu 1.69 million jijini London. Page ya kwanza iliochukua uzito inasoma hivi...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Taarifa Maalum Kwa Umma Kutoka Kwa Mbunge wa Jimbo la Mji Mkongwe Zanzibar Ismail Jussa:Taswira ya Zanzibar kama kisiwa cha amani inachafuliwa Written by haki | Mbunge wa Mjini...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Hii ni kwasababu na majukumu mengi mwisho wwa kunukuu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu wana wa Tanzania HABARI Hivi ni Vichekesho sana hebu Tazama Pamoja na kuwa Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, Pia Kilimo kuchangia takriban nusu ya pato zima la taifa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=NcETj_0rgh4
0 Reactions
0 Replies
947 Views
A row is brewing over the circumstances under which the Ministry of Infrastructure Development directed the Tanzania Ports Authority (TPA) to pay millions of shillings to a UK-based consultancy...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wanajopo za j2? kwa mda sasa nimekuwa mafatiliaji sana wa miradi ya naendeleo katika jiji la dsm na katika ufatiliaji wangu nimegundua ulaji na urafi wa madiwani hasa wa ccm,kwa mfano jimbo la...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wabunge wa CHADEMA wafanya mikutano kwenye jimbo la hai,kwa mwenyekiti wa taifa Mbowe ni ktk kuhimarisha chama ktk ngazi za kata. wabunge waliopo ni kama wafuatao,mh Msigwa,mh Nyerere,mh Sugu,mh...
3 Reactions
110 Replies
9K Views
Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nasari (dogo janja), leo amewafuta machozi yatima katika kusherekea sikuu ya Id, baada ya kuwapatia chakula pamoja na pesa taslimu (hawajataja kiasi) watoto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wasalamu alaykum,viongoni wa chadema naomba sasa tuelekeze nguvu ktk jimbo la iramba magharibi kwa ajili ya kuweka mbunge mwenye weledi na mwenye kujitambua na kutambua dhamana ya cheo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtakumbuka wakati Uamsho wanadai dola huru ya Zanzibar, kulitokea matukio mengi ya kuchoma moto makanisa,kujeruhi watumishi wa Mungu, na mauaji ya padre mmoja. Hivi karibuni Shehe Ponda alipowapa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kila mara ukisikia Wamalawi na kelele zao most of time wanaliita Ziwa Nyasa ,Ziwa Malawi na kudai ni la kwao lote... Nimekuwa najiuliza kwa argument yao hii na sisi Ziwa Tanganyika ni la kwetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais JMK, Naomba nichukue nafasi hii kukupongeza kwa dhati kwa amri uliyotoa ya kuwapa wahamiaji haramu katika mikoa ya Kagera, Geita, na Kigoma kuondoka mara moja katika ardhi yetu ya Tanzania...
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Prof.mwakyusa alipouawa kwa kupigwa risasi jk hata msiba hakwenda,ulimboka alpotekwa jk hata pole hakutoa,kibanda alipotekwa jk tamko hakutoa,soweto walikufa watz wanne jk hospitalini hukwenda...
7 Reactions
97 Replies
9K Views
Back
Top Bottom