Hii ya wakimbiza mwenge na jezi za CCM imekaaje ?

Hii ya wakimbiza mwenge na jezi za CCM imekaaje ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
8,873
Reaction score
1,926
Wana JF naandalia hapa news ITV maneno kule Singida wanako pokea Mwenye wa uhuru wote wanao ukimbiza muda wote wavaa nguo za rangi ya bendera ya CCM na huku wanasema Mwenye ni mali ya Nchi kwa nini sasa ma CCM na majezi yao kila kona ?
 
Mwenge ni taasisi ya UVCCM kupatia u DC,Waongoza mwenge wote wameishia kupata u DC
 
Ya kaiar mpatie Kaizer, achana nao hao wezi, viwanja na majengo ya taifa yalipurwa kuwa mali ya CCM itakuwa huo uchawi wao wa mwenge
 
Mkuu, si ajabu kumwona kalumanzila akiwa na mkia maana ndo uganga wenyewe!
 
Nashangaa jamno la Kitaifa kwa maneno ila matendo ni CCM na apparatus zake .Ndiyo maana nawauliza
 
Wana JF naandalia hapa news ITV maneno kule Singida wanako pokea Mwenye wa uhuru wote wanao ukimbiza muda wote wavaa nguo za rangi ya bendera ya CCM na huku wanasema Mwenye ni mali ya Nchi kwa nini sasa ma CCM na majezi yao kila kona ?

Picha Chini ni MwanaMapinduzi HODARI wa CCM na MWENGE akiupokea kwa FURAHA na KULA BURE VYA CCM



1094627_1395536047339092_569396748_o.jpg
 
Hata mimi niliwaona nikajiuliza kumbe huu mwenge ninwa chama tawala? Mbona sasa watumishi wa umma wanachangishwa? Hii siyo sahihi.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom