UCHAMBUZI: Report ya Jaji Manento na Jaji Ihema - Mauaji ya Januari 5, 2011 Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UCHAMBUZI: Report ya Jaji Manento na Jaji Ihema - Mauaji ya Januari 5, 2011 Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fitinamwiko, Oct 11, 2012.

 1. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  1)Kama ningekuwa Jaji Ihema nisingeshiriki katika kamati ya Mh Nchimbi, kwakuwa Wizara ya mambo ya ndani ndio watuhumiwa wakuu.
  2) Baada Mh Lissu kutoa tuhuma za utendaji wa Jaji Ihema, busara ingetumika kwa yeye kujitoa na kupendekezwa mtu mwingine.
  3) Wajumbe wa kamati ya Nchimbi Kamishina wa polisi na Kanali wa JWTZ ni wafanyakazi wa serikali, ambao kisheria na nafasi zao, hawaruhusiwi kuikosoa serikali hadharani. (Dr. Nchimbi alisema ataweka hadharani report)

  Mnakaribishwa kutoa maoni

   
 2. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Hukumbuki wakati kikwete anaapishwa mwaka 2005 aliwahi kusema CCM kuna kazi nyingi sana. Hii ni sehemu ya kuwapa kazi maswahiba wake wote ambao wameproof failure. T. Lissu hakukosea
   
 3. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Mtuhumiwa hawezi kujichunguza. Kwa kuwa wanakamati ni watendaji wa Serikali, taarifa yo yote watakayotoa ni batili kwa kuwa lazima walalie upande wa mwajiri wao.

  "The rule against bias (no one can be a judge in his own cause).
   
 4. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ni ngumu sana kwa jaji Ihema kuukata mti huku ameukwea mwenyewe hapohapo!
   
 5. S

  Shembago JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni aibu kubwa kwa huyu jaji Ihema amabaye ndio kwanza yupo Open University akisomea Sheria! Sijui Ujaji kautoa wapi? Hongera jaji wa ukweli Manento!!
   
 6. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  We don't have the gutt to doubt His Excellence Lissu any more!
   
 7. a

  artorius JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 758
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu unamaanisha huyu jaji hana degree ya sheria?sasa alipewa ujaji kwa kigezo kipi?kama ni hivyo ripoti yote ya huyu jaji feki ni invalid kwa sababu hastaili kuitwa jaji
   
 8. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,960
  Likes Received: 6,725
  Trophy Points: 280
  Tumeshuhudia kamati 3 zikifanya uchunguzi kuhusu kifo cha mwanahabari Daudi Mwangosi, kilichotokea huko Nyololo-Mufindi, Iringa. tarehe 2/9/2012. Kamati hizo ni ile ya Nchimbi iliyoongozwa na Jaji Steven Ihema, na ile ya Baraza la Habari Tanzania MCT, na ile ya Tume ya utawala bora, iliyoongozwa na Jaji Amir Manento. Kamati hizo zimetoa ripoti zake, jana na juzi. Kwa kuwa kamati zote hizo 3 zimetoa hadharani matokeo ya uchunguzi wao, kuhusu nani walisababisha kifo cha Mwangosi na kama kifo hicho kilikuwa cha bahati mbaya au kilipangwa. Sasa kwa kuwa wadau mmezisoma au kuzisikia ripoti hizo zote 3, na kwa kuwa wanaJF, tunatambulika kama Great thinkers, sasa basi tuzifanyie tathmini ripoti hizo na tuorodheshe, ni ipi tunayoiona imetoa ripoti ya uhakika, ambayo haikutaka kumpendelea mtu yoyote, na ipi ilikuwa inafuatia kwa angalau kujitahidi kueleza ukweli wa tukio zima lilivyotokea, na ipi ripoti ambayo imeonyesha upendeleo wa dhahiri, wa kutaka kuficha ukweli na kutaka kuwalinda waliotenda uhalifu.Ni vyema pia kama Mwalimu anavyosahihisha mtihani wa mwanafunzi, nasi wanaJF, tutoe maksi tunazoona zinastahili, kwa kila kamati iliyotoa ripoti yake! Karibuni wadau tufanye tathmini
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ondoa ya Nchimbi ndio kimeo!
   
 10. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  1.KAMATI YA JAJI IHEMA= 00% uozo mtupu
  2.KAMATI YA MCT=80% wamegusa maeneo muhimu japo mapendekezo dhaifu.
  3TUME YA JAJI MANENTO=90% wamegusa mambo mengi ata yale mtambuka mfano lile la TENDWA.
   
 11. M

  MC JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Waombe Modds wailete katika style ya Poll
   
 12. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  kupewa degree bila kusoma mbona bongo linawezekana
   
 13. Ryaro wa Ryaro

  Ryaro wa Ryaro JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 2,663
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  KAMATI YA JAJI IHEMA % CHIMBI= 0%
  2.KAMATI YA MCT=30% walipaswa kuongea ukweli zaidi kwani wao ndo waadhirika na hawana uchungu na kifo cha Mwenzao.
  3TUME YA JAJI MANENTO= 96% wameonea ukweli tupu na kutufunulia mtu aliyelengwa kwenye mauaji yale kuwa alikuwa ni Dr. Slaa na wala si marehemu.
  Recommendation: RPC akamatwe na Waziri Chimbi na Msajili wa Vyama Tenda wajiuzuru haki itendeke. Mahakama iwezekuchukua nafasi yake watu wote watendewe haki kama Marehemu Mwangosi
   
 14. m

  mwanamilembe Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shembago hivi unamjua jaji Ihema ama unajisemea tu ? Kwa taalifa yako jaji Ihema alimaliza chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka mmoja na Samwel Sitta. Ameawhi kuwa Director of External Interligency pale TISS kipindi cha NyererE miaka ya '70, Baada ya hapo akawa akapelekwa ubalozini Italy alivyoludi akawa Mwanasheria wa jiji la Dar es salaam. Huyu ni mtu wa system.
   
 15. S

  Shembago JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.KAMATI YA JAJI "KILAZA" IHEMA= 0000000000000.0% Aibu tupu kabisa
  2.KAMATI YA MCT=76% wamejitahidi inagwaje hawakwenda in detail
  3.TUME YA JAJI MANENTO=92% Detailed Report,logical and proffessional
  • [​IMG]
   
 16. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nchimbi haelewi kwa nini yeye ni waziri.
   
 17. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi Ihema na Manento ndio majaji waliokuwa wakitajwana Tundu Lissu?
   
 18. b

  bantulile JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,439
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kama kuna mtu ana cv ya jaji Ihema, tafadhali aweke humu. Pengine si busara kumhukumu tofauti na cv yake.
   
 19. O

  OLUKUNDO Senior Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Huyu Bwa Nchimbi ni aina ya viongozi vilaza waliopo madarakani...wanajiita Ma Dr.They can not comprehend even a simple msg.
   
 20. Simba mnyama

  Simba mnyama JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ingefaa kama tungewekewa utaratibu mzuri wa kupiga kura kama ule uliotumika kuwapambanisha Slaa na Zitto Kabwe katika kupata maoni nani anafaa zaidi kugombea Urais kwa tiketi ya Chadema. Hata hivyo kwa upande wa Tume hizi tatu zilizochunguza mauaji ya hayati Daudi Mwangosi, kura zangu ziko kama ifuatavyo:
  1. Tume ya judge Ihema: 00%
  2. Tume ya MCT: 20%
  3. Tume ya Haki za Binadamu: 80%
   
Loading...