Wana jamii forums
Natoa angalizo kwa mchakato wa katiba mpya kuwa serikalii iangalie kama kuna uwezekanao wa kubadilisha mfumo wa kuchagua viongozi badala ya kupiga kura zoezi ambalo linatumia...
Wanachama wa ccm mkoani Rukwa wamekwenda kinyume na msimamo wa chama chao na kutaka uwepo wa serikali tatu maana katiba ni kwa maslahi ya Taifa na sio wana ccm, Tunajua ccm viongozi wakubwa...
Mh mbowe akiwahutubia watu wa boma ngombe jioni hii ktk mkutano wake wa kumi na sita amesema ametangaza vita zidi ya mkuu wa wilaya makunga ,kwa kile ambayo ccm wametaifisha kiwanja cha umma na...
Summary
Still current at:
9 August 2013
Updated:
8 August 2013
Latest update: Summary - attack on two British women in Stone Town, Zanzibar
A large fire broke out at Nairobis Jomo Kenyatta...
Members of the East African Legislative Assembly (EALA) want to oust Speaker Margret Zziwa for taking sides in the disputed decision to have the House sit only in Arusha.
The members opposed to...
Wafugaji wote wa mkoa wa kagera wenye asili ya Rwanda na Uganda si wahamiaji haramu. Wana residence permits. Na wanatembea nazo, make wao wakikamatwa bila kuwa nanzo siku zote wanatiwa ndani na...
Wana jf leo tujikumbushe kauli ya Nape na mwigulu kama yameisaidia chama chake.
Leo tuanze na Nape kwanza.
1. Akiwa ziarani mkoa wa Mara, aliwaambia wapambe wake kuwa 'ikulu si wodi ya...
Mama Tibaijuka anatafutwa na wapiga kura wake wa Jimbo la Muleba,leo asbui kwenye kipindi cha Super Mix baadhi ya wapiga kura wake ambao walikua wakihojiwa na Kituo cha redio cha East Africa...
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu Yusuf Makamba katibu mkuu mstaafu wa CCM ameibuka na kudai kuwa Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani EDWARD LOWASSA ni mtu wa watu na anafaa kuwa kiongozi...
Habari Zenu,
Rwandan Foreign minister, Louise Mushikiwabo, amesema jana (08 August 2013) : " Tunatumaini kama uhusiano kati ya Rwanda na Tanzania au, na nchi yoyote jirani, ni mzuri. Hata kama...
Wna jf, achana na kauli ya Nape, Mwigulu,Pinda, Wasira, etc..sasa sikia hii kali.
''Ni vigumu kuongoza watu maskini na wenye njaa'' hiyo ni kauli ya mh waziri wa nchi,ofisi ya waziri mkuu, Mary...
Vyama vingi hasa vya upinzani kikiwemo CHADEMA vinabebwa na majina ya watu hasa wale walio na umaarufu lakini ukimuuliza hata mwananchi wa kawaida nini sera ya CHADEMA kuhusu ardhi haijui,nini...
Tunaomba uongozi wa chadema kanda ya kusini wapeleke M4C jimbo la Mbinga mashariki kwani hadi sasa mbunge wetu Gaudence Kayombo hakuna alilo fanya ,wananchi wana hitaji mabadiliko ya haraka kule...
ni kweli na tunashukuru sana kwa msaada huo kwani ni mkubwa sana mpaka unatia mashaka,lakini swalilakujiuliza ni kuwa umetolewa kwa makubaliano gani?
kama mtanzania ninahaki ya kujua kama...
SHEIKH PONDA AIBUA MAPYA
*Apinga mpango wa serikali misikitini
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameibua mapya baada ya kumtaka Waziri Mkuu, Mizengo...
Serikali ya chama cha mapinduzi tunaomba orodha ya waliowahi hata kuhojiwa na polisi kama sio kushitakiwa kwa tuhuma(kashifa) hizi:-
1.Richmond
2.Meremeta
3.Kagoda
4.Deep Green Finance
5.EPA...
Kwa kweli nashangaa kwa ccm kuwakumbatia na kibaya zaidi kuwapa uongozi wa umma watu
wa dizaini ya akina nape kwani badala ya kuiletea chama sifa stahiki,wanakididimiza na kuonekana
kibaya machoni...
Katika Taarifa ya habari ITV Saa 2 Nimemuona na kumsikia Lipumba akiongea katika Ibada ya IDD kuwa watanzania tuendelee kudumisha Amani, Utulivu na Umoja tulionao sasa. kauli hii inanipa shida...
By The Citizen Reporter
Friday, August 9 2013 at 20:44
Inquiries during the week that has seen raging debate on whether Tanzania was losing the war against drug trafficking...
Matukio ya tindikali zanzibar na mauaji yanatuchafua pia watanganyika maana kimataifa inalipotiwa kama Tanzania ambayo 90% mataifa yanaitambua kuwa ni Tanganyika.
Wazanzibar mbadilike bwana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.