UN Yakabiliwa Na Uhaba wa Fedha

UN Yakabiliwa Na Uhaba wa Fedha

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
39,431
Reaction score
25,454
Ndugu zangu Watanzania,

Embu Someni Hapa ili mpate kujua Maana ya kujitegemea kiuchumi kama Nchi Kama Afanyavyo Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambaye amekuwa akitutaka Watanzania kulijenga Taifa letu kwa Mikono yetu wenyewe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260131-211550_1.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Embu Someni Hapa ili mpate kujua Maana ya kujitegemea kiuchumi kama Nchi Kama Afanyavyo Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambaye amekuwa akitutaka Watanzania kulijenga Taifa letu kwa Mikono yetu wenyewe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3537113
Wauze dhahabu zao
 
Xi Jinping, ulisema bila usa mambo yataenda tu. Kila member country atoe 1% kufidia gap la USA. Nadhani unatania.
 
Mimi siyo Chawa
Wewe haunaga akili. Tukikimbilia kuomba fedha nje unashangilia na kuanzisha thread, tukinyimwa pesa na misaada unashangilia na kuanzisha thread, ndugu zako Mbeya wameuawa October 29 umeshangilia na kukenua meno kumsifia bibi yako muuaji, leo hii unajiunga na VPN ya uholanzi kuja jamii forums kuwasifia walioifungia isipatikane. Una akili timamu kweli!?!?, Jamii forums ilipofungiwa mliona aibu kama wiki moja baadae mkaamua kuja hivyohivyo bila kutumia akili. Aliyekuzaa bora angefanya abortion tu.
 
Kwani hapo sababu ni kujitoa kwa U.S au nchi wanachama kwa ujumla kutolipa ada zao kwa wakati?
Ulisema kanaa kwamba ni kitu rahisi tu kufanyika, kama ada za wanachama tu ni mbinde, hiyo 1% unadhani itakuwa rahisi. Mwelekeo wa dunia kwa sasa haueleweki, usije kushangaa hata hiyo UN nayo inakata moto tu.
 
Hali ya uchumi ni tete ila UN kukata moto si rahisi imepitia vipindi vigumu vingi sana tangu ikiwa inaitwa League of Nations
 
Back
Top Bottom