Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijui Mwalimu Nyerere alikuwa akilenga nini hadi kufikia hatua ya kuruhusu watu kutoka Zanzibar kuwa na nafasi ya kuongoza Tanganyika, wakati Wabara hawana nafasi hiyo ya kuongoza Zanzibar. Hali...
5 Reactions
35 Replies
492 Views
Kila Jambo lina Mipaka yake Ndg Wanajamvi. Siku Za Karibu Kumekua na Mwanasiasa alisahau kipimo cha Uhuru na kila Kauli hakikisha uhujumu msalahi ya Nchi. Kama kweli unawapigania Watanzania...
8 Reactions
125 Replies
3K Views
Jana niliandika kuhusu changamoto ya taa za kuongozea magari na watembea kwa miguu zilizopo eneo la Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mbeya (Catholic University of Mbeya - CUoM), ambazo zilikuwa hazifanyi...
0 Reactions
2 Replies
95 Views
Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi Media kilichorushwa leo Julai 28, 2026. Uchaguzi huu ulioisha, niliwaambia naomba nyimbo kama...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TBC, Ayob Rioba akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa na A &S podcast amesema Na TBC ilikuwa victims kwa sababu ndio iliyokuwa inatangaza matokeo na taarifa...
1 Reactions
12 Replies
466 Views
CCM ni chama imara na siku zote huwa kinapima viongozi kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kesho, sio kwa ajili ya kelele za leo. Kila mkutano wa Halmashauri kuu unapokaribia huwa kuna sauti nyingi...
0 Reactions
6 Replies
86 Views
Nina shaka na maono ya viongozi wa sasa kuhusiana na dhima ya ujenzi mkubwa wa Miundombinu nchini kama kwamba inarudisha kwenye zama za Utumwa na kutawaliwa. Nakumbuka maono (Vision) ya rais...
5 Reactions
12 Replies
764 Views
CHADEMA imetangaza kusitisha uvumilivu dhidi ya kile ilichodai ni matumizi ya vyombo vya dola kugeuza shughuli za kisiasa kuwa makosa ya jinai na ugaidi. Chama hicho kimesema kitachukua hatua za...
12 Reactions
14 Replies
340 Views
Hajaisha mpaka iishe. Nimepata very classified information kuwa pamoja na Mafwele kutenda makosa makubwa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu( Crime against humanity), alijua kabisa ipo siku atawindwa...
27 Reactions
72 Replies
2K Views
Kipindi nagawa vipeperushi vya amani kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Iringa, jeshi la polisi mkoani humo limeanza kunibugudhi kisa ujumbe uliopo ndani ya vipeperushi. Ujumbe huo ni mfupi tu...
7 Reactions
12 Replies
197 Views
Kwa hili niwape kongole wazee wa geti jeusi wale wazee wa kitengo, huo ushauri mlioupa imekaa vizuri sana, maana Dunia haituelewi hadi muda huu, hata wafanyabiashara wa sekta ya utalii hawaelewi...
5 Reactions
11 Replies
327 Views
Watu wa X, Chadema na watanzania wengine wanamlaumu sana Thobias Mwesiga Kwa matendo yake ya kihalifu. Hii ndo biography ya Thobias Mwesiga. Huyu bwana alizaliwa katika kitongoji Cha Nyarubanja...
16 Reactions
33 Replies
1K Views
  • Redirect
Kuna ukweli au mambo ya mitandao. Eti bunge la Marekani lasema mtu apelekwe ICC
4 Reactions
Replies
Views
  • Closed
Aisee hawa watu wapo mbele sana kwa intelejensia ya uhakika. Hawanaga kuficha ficha wala uchawa wao ni straight. ==== Ufuatiliaji wa JamiiCheck: Video inapotosha uhalisia kwani imetumiwa...
22 Reactions
52 Replies
2K Views
Comments ziwe fupi fupi ingekuwa Samia Wasingetokea pia? Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
18 Reactions
46 Replies
2K Views
Nikisubiri 2040 ndio aishike nchi,sina uhakika na uhai wangu kutokana na umri wangu. Japo Mimi ni Dola,lakini siwaani hawa wenzangu kama watampitisha hiyo 2040. Hivyo muda pekee ni hii 2030 kwani...
6 Reactions
53 Replies
576 Views
Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea? Hawa watu wanasema wanataka kuandamana ni kweli wanataka kuikomboa nchi au wanataka kurudisha nyuma maendeleo na kutupeleka kwenye Stone Age ?
5 Reactions
15 Replies
482 Views
Moyo wangu umejawa na furaha kama Ile ya Abel (Habil) baada ya kutoa sadaka ya kukubalika mbele za Mungu. Ingawa sadaka ya Abel ilikuwa na wivu dhidi ya ndugu yake Kaini.
13 Reactions
21 Replies
220 Views
C&P from Belvin Kagoma facebook MAKALA: Operesheni ya Kupambana na Kelele Kariakoo – Je, Dar itarejesha Utulivu wa Soko Kubwa Zaidi Nchini? Utangulizi Jiji la Dar es Salaam limeingia rasmi...
1 Reactions
6 Replies
148 Views
Back
Top Bottom