Mataifa ya Afrika mashariki yanahitaji mapinduzi ya kweli by any means necessary

Mataifa ya Afrika mashariki yanahitaji mapinduzi ya kweli by any means necessary

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,266
Reaction score
7,118
Angalia picha ya Mke wa Boby wine akiwa amekaa kwenye sakafu huku akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Hii ni kinyume na haki za kibanadamu na utu.

Kwa nini Wanamchi wa Afrika mashariki wanafanywa wajinga?

Mataifa yao kugeuzwa nchi za kisultani?

Mapinduzi ya kifikra na hata kimwili yanahitajika kukataa hizi tawala.
 
Kuna shda kweli kweli.tunapaswa kubadilika.kufeli kwa mo29 yalifanya uganda kufeli.laiti mo29 ingefanikiwa uganda pia museveni angeanguka
 
Back
Top Bottom