Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,930
Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji.
Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo ya ajabu ajabu sana.