Mzee Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno Mafisadi Papa

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,723
Reaction score
57,130
Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi" lenyewe na anaeleza jinsi alivyowaita hivyo na jinsi alivyopigwa vita.

Mengi anaandika 2006 gazeti lake la Alasiri na The Citizen lilifanya uchunguzi likagundua kampuni 5 zinaitwa "Richmond, Kagoda, Deep Green, Alex Stewart na Meremeta" zimepewa zabuni za umeme, dhahabu, mbolea, bila kufanya kazi pesa bilioni 600 zimetoka Benki Kuu.

Alipokwenda Ikulu kumuona Rais na orodha akaambiwa "Hawa ni wafanyabiashara wakubwa usiwaguse"

Mengi akarudi ofisini akaandika kichwa cha habari cha kwanza Tanzania kutumia neno hilo:

"MAFISADI PAPA wala Nchi"

Anasema alichukua neno la Kiarabu "Fasadi" maana yake kuoza na akaliongezea "Pa" - "Papa" - maana yake samaki mkubwa anakula wadogo.

Kuanzia hapo neno Fisadi likaingia Kamusi ya Kiswahili.

Alielezea tabia nne za Fisadi Papa kama alivyoandika:

a) Fisadi Papa Hana Kiwanda ana Ofisi Tu na Simu ya Ikulu:

"Fisadi Papa hana trekta hana kiwanda hana wafanyakazi - ana ofisi ya vyumba viwili Posta na kadi 5 za mawaziri. Kazi yake ni moja kupata barua ya zabuni kutoka Ikulu kuiuza kwa Mzungu na kupata kamisheni 30% bila jasho"

Alitoa mfano Richmond kampuni iliyosajiliwa Texas Marekani kwenye karakana ya kutengeneza magari ikaletwa na fisadi Mtanzania -l ikapewa zabuni ya kufua umeme bilioni 100 na haikuwa na jenereta hata moja ilileta mitambo ya kukodi Ujerumani.

b) Fisadi Papa anaua Mjasiriamali wa Kweli:

"Mimi IPP nilijenga kiwanda cha karatasi Morogoro nikaajiri watu 500 nikilipa kodi. Fisadi Papa akileta karatasi kutoka China bila kodi kwa sababu ana msamaha wa kodi kutoka Wizara kiwanda changu kinakufa watu 500 wanafukuzwa na nchi inasema IPP imeshindwa"

Ndiyo maana alipigana nao kwa sababu alisema "Kila fisadi papa akipata zabuni mjasiriamali mmoja wa kweli anakufa"

c) Fisadi Papa Anamiliki Gazeti, Mbunge na Jaji:

Mengi anaandika fisadi papa hawezi kuishi bila kununua kinga tatu:

1. Ananunua gazeti ili lisimuandike
2. Ananunua Mbunge ili asimsumbue
3.Anamnunua jaji asimhukumu

Jambo hili amaethibitisha kusumbuka nalo sana kwani mfumo ulimwandama na watu aliowataja.
 
OK. :1Head:
 
Screenshot_20260806-121059~2.png
 
Platinum member mnapewaje? Yaani mengi ndio aliingiza neno fisadi kwenye kamusi ya kiswahili?

Neno Fisadi limekuepo hata kabla Mengi hajazaliwa.
Nyinyi ndio mnafanya tuone platinum member si lolote na kuondoka heshima yake.
 
watu wazur hawadumu
 
Fisadi kweli sio neno jipya ila FISADI PAPA ni msemo mpya toka kwa hayati Mengi.
 
Umeamua kuandika upumbavu tu. Dang any watoto wa 2000
 
Back
Top Bottom