Video ya Rais akihutubia IPU ilikua ni AI

Video ya Rais akihutubia IPU ilikua ni AI

Ngoja nikaitafute YouTube. Au ngoja nisubiri mpka tar 14 maana nilikuwa sumbawanga juzi nikaambiwa mh ndio atakuwa mgeni rasmi kwenye kilele Cha kuhitimisha mbili za mwenge kitaifa.
 
Kuhusu basi Sina uhakika sana mm nilikuwa na private ya ofisi. Ila kiukwe Kuna pisi za kuridhisha tuu.
Mkuu nipe sifa za pisi za huko
Na wewe ni Afisa maendeleo ya vijana au Ofisi yenu imeandaa maonesho ya Youth Week?
 
Naona kuna watumishi wamepenyezewa habari fulani fulani, na wanaendelea kupigilia msumari kuna kitu hakiko sawa mahali....
Achaneni na biashara ya kupiga ramli kama vile wale wanaotabiri kutakuwa na Elnino week ya 2 ya Oktoba.
 
Naona kuna watumishi wa Mungu wamepenyezewa habari fulani fulani, na wanaendelea kupigilia msumari kuna kitu hakiko sawa mahali....
Katika ku collect dot ukisikiliza hii clip seems huko ndani Kuna mambo au mchezo wao tu kuturisha tangoo ripo
 

Attachments

  • Screenshot_20261013-104441~2.jpg
    Screenshot_20261013-104441~2.jpg
    175.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom