Wanabodi,
Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa...
Pascally Mayalla na wenzake lazima tukubali walitufanya sisi tuonekanike ni fyankura
Kabla ya kwenda mbali naomba huyu MWAMba Pascally Mayalla aweke CV yake ya kusomea uhandishi wa habari hapa...
Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi!
Kama...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧...
Wakina ndugu Lissu aachiliwe aende zake nyumbani baada ya hapo maridhiano ya kitaifa tujadiliane na kuwa na muafaka wa pamoja, muafaka ndio inawekaga kusemana kweli na kisha tuambiane rekebisha...
Title states openly...........
Mimi ,wewe, yule na waleee sote TUMEFELI.
Mwl. J.K. Nyerere alinukuliwa alisema taifa ni watu, ardhi na utawala Bora.
Mimi na wewe kama segment muhimu ktk taifa...
Asema hana matumaini na kizazi cha sasa katika kujenga jamii mpya, ataka nguvu ziwekezwe kwa vizazi vijavyo.
Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu (Mstaafu) wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa...
Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi.
Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA...
Kwa Wale ambao hawafahamu Unafiki wa Zitto Kabwe basi ni vema Wakarejea kwenye Uchaguzi wa 2015.
Mwaka ule kulikuwa na Kolabo iliyoitwa UKAWA, huku Tanganyika mgombea wa UKAWA alikuwa Edward...
Sabato Njema!
Polepole wakati anatembelea V8 alitamba sana tena kwa bahati mbaya kabisa alishindwa kujizuia akajirekodi na kujigamba na kuwaringishia Watanzania hawaijui V8.
Sasa amuache Samia...
Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada...
Haitoshi tu kuelezea mambo ya kisiasa ama Kura zinavyoibiwa, tunataka pia kujua uhai wa watanzania wenzetu waliopotezwa na wanaoendelea kupotea ninani anawateka na wanawekwa ama wako wapi na kama...
ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mradi wa kundi mtandao ambao wamewezesha na wakamka, ndivyo hivyo Chaumma ni project ilikuwa inahusu ubwabwa leo hii inamgombea Amesema Polepele
CCM wamefanikisha harambee yao kwa ajili ya Kampeni. Wamepanga kukusanya bilioni 100, wamekusanya bilioni 86 na ushee, ni mafanikio makubwa.
Mtindo huu wa kufanya harambee kwa Vyama vya Siasa kwa...
Watanzania wangekuwa wanajitambua hata kwenye mikutano yao wangewasusia kabisa hawa wahuni wanaotaka kuaminisha umma kuwa kuna vyama vya upinzani kumbe ni tawi la chama chenye manyaya makubwa...
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 alikuwa na haya ya kusema...
Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%.
Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi...
Pongezi kwa Pole Pole na Nape.
Jamani sijaamini kama CCM wangekuwa na mchezo mchafu wa mfimo wa uchaguzi.
Tumlinde Pole Pole kwa nguvu zote na tumsamehe inawezekana kipindi akiwa kule alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.