Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

X= CCM Y = INEC Z= NIDA Qn: Define the function and importance of each union interaction in the ven diagram among the three players in election rigging
7 Reactions
5 Replies
425 Views
Nauliza tu kwa faida ya kizazi cha 1992 na kuendelea ili Wasaidike kifikra Nawatakia Sabato njema 🙏🇹🇿🇮🇱
1 Reactions
3 Replies
214 Views
=== Akihojiwa na kituo cha utangazaji Cha ITV kwenye kipindi ya DK 45 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila...
30 Reactions
130 Replies
5K Views
Rekebisha hicho Jaji alichokisema kuwa umekikosea, then refile. Kama imekuwa struck out, hiyo inakuwezesha ku refile your case! Let history have it that you fought for what you believed to be...
5 Reactions
6 Replies
556 Views
Ni nani ameweka fedha hapa? Tamasha la bure kabisa, hii jeuri wanaitoa wapi kwa usawa huu? ==== Mkesha wa muziki wa taarabu utakaohusisha mastaa na wakongwe wa muziki huo nchini utarajiwa...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Rungu la Polepole limerushwa na kuangukia CCM, NIDA na INEC. Kwamba watatu hawa ndio wapindishaji wa haki na maamuzi ya watanzania kwa viongozi wanaowataka kupitia sanduku la kura. Baada ya madai...
2 Reactions
14 Replies
928 Views
Wakuu, hili la Leo alolisema Polepole, linatosha kabisa kuisambaratisha CCM. CCM imekoswa uhalali kabisa wa Kuexist kama Chama katika Dunia ya Multiparty . CCM imepoteza uhalali wa Kuendelea na...
2 Reactions
10 Replies
516 Views
Hakuna uwezekano hata kidogo kwa upinzani nchini kushinda uchaguzi mkuu wa October 29,2025 hata kiti kimoja tu cha ubunge au udiwani achilia mbali urais, mbele ya CCM hii imara na madhubuti sana...
1 Reactions
61 Replies
2K Views
"Waganda ni Sawa na Wagonjwa wanaweza kupona muda wowote na wakadai vyao" "Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao" "ila Watanzania ni sawa na maiti...
5 Reactions
11 Replies
627 Views
Wakuu mpo vizuri? Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata...
2 Reactions
33 Replies
9K Views
Wanabodi, Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa...
67 Reactions
320 Replies
35K Views
Pascally Mayalla na wenzake lazima tukubali walitufanya sisi tuonekanike ni fyankura Kabla ya kwenda mbali naomba huyu MWAMba Pascally Mayalla aweke CV yake ya kusomea uhandishi wa habari hapa...
7 Reactions
68 Replies
2K Views
Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi! Kama...
3 Reactions
8 Replies
580 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakina ndugu Lissu aachiliwe aende zake nyumbani baada ya hapo maridhiano ya kitaifa tujadiliane na kuwa na muafaka wa pamoja, muafaka ndio inawekaga kusemana kweli na kisha tuambiane rekebisha...
0 Reactions
2 Replies
439 Views
Title states openly........... Mimi ,wewe, yule na waleee sote TUMEFELI. Mwl. J.K. Nyerere alinukuliwa alisema taifa ni watu, ardhi na utawala Bora. Mimi na wewe kama segment muhimu ktk taifa...
2 Reactions
0 Replies
254 Views
Asema hana matumaini na kizazi cha sasa katika kujenga jamii mpya, ataka nguvu ziwekezwe kwa vizazi vijavyo. Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu (Mstaafu) wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi. Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA...
17 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwa Wale ambao hawafahamu Unafiki wa Zitto Kabwe basi ni vema Wakarejea kwenye Uchaguzi wa 2015. Mwaka ule kulikuwa na Kolabo iliyoitwa UKAWA, huku Tanganyika mgombea wa UKAWA alikuwa Edward...
20 Reactions
107 Replies
4K Views
Sabato Njema! Polepole wakati anatembelea V8 alitamba sana tena kwa bahati mbaya kabisa alishindwa kujizuia akajirekodi na kujigamba na kuwaringishia Watanzania hawaijui V8. Sasa amuache Samia...
7 Reactions
56 Replies
2K Views
Back
Top Bottom