Habari za mida hii ndugu? Maoni yangu nivyema mwaka huu tusifanye uchaguzi kwa sababu huu ni mchezo wa kiini macho tu, kwa vyovyote vile chama tawala tayari wana hakika ya ushindi kwa asilimia...
WanaJF,
Natumaini tunaendelea vizuri wikendi hii.
Leo nimekuja na ushauri kwa serikali yetu wakati tunapambana kuelekea kwenye uchumi wa juu kama nchi.
Wakati tunajivunia maendeleo tuliyopata na...
Agosti 10, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alimtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha kuwa mifumo yote ya Tehama serikalini inasomana ili kufahamu...
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.
Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu...
Nawashangaa sana hawa wanaojiita Upinzani, hivi Hawa wapinzani wetu ni wakulala wanaskiliza press za polepole Leo kweli?
Nadhani ni kukosa hoja kwa Wananchi, lakini si kukesha eti mnamsikiliza...
Habari wakuu Mimi bado ni mgeni katika Chama cha mapinduzi.
Nilianza kuwa mwanachama rasmi mwaka 2010 kwahiyo Nina miaka 15 Hadi Sasa.
Kwa Hali ilivyo Sasa haitakiwi akili ya mhemko hata kidogo...
Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa,
Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio...
Ni dhahiri bila chembe ya shaka, Waislamu walikuwa msitari wa mbele kumng'oa mkoloni. Hilo halina ubishi, maana Tangu enzi za vita vya mababu zetu dhidi ya wakoloni, struggle nyingi zilifanyika...
Litakuwa jambo jema sana.
Walimu wanaishi vijinini hawana nyumba.
Manesi na madaktari wanangaika vijijini kuokoa maisha ya watu.
Hakuna anayepewa hata sh tano kama motisha.
Leo stars afungwe...
Mambo yanazidi kunoga katika safari ya kukomesha matumizi ya Kuni na mkaa kunako 2034.
Gesi Sasa kama luku.
https://www.instagram.com/p/DNp2CO_I96P/?igsh=MThpY3lhMnNob2Nybg==
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman anazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari muda huu katika Hoteli ya Serena.
https://www.youtube.com/watch?v=QALdEBBAQlk
Mazungumzo...
Mahakama kuu uwa inachukua muda gani kupanga tarehe ya kesi, mfano kesi ya lissu iliyomalizika hapo Kisutu na kupelekwa mahakama kuu itachukua siku ngapi au muda gani mpaka kupangiwa tarehe ya...
Kama ipo nijulisheni kuna chimbo lina odds za uhakika mwezi october. Nataka kusuka mkeka niweke milioni 200.
Mkeka nitakaosuka utakuwa hivi
Rais - Mama Abdul wa Dp World
Mbunge Moro - Abood...
Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining.
Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea:
Uhamisho wa...
https://youtu.be/vtxezmGOgQI?si=MUyi4Mzqdi4Mnb-v
Sikiliza kilichotokea kwenye kikao cha Viongozi wa AU kule Addis Abeba. Rais kijana mwanapinduzi bila kupepesa macho wala unafiki alimlipua Rais...
Ujue tatizi kubwa sana ni wananchi wa Tanzania. Wamekubali na kuridhia kuliwa kwa namna yeyote ile mlaji anvyotaka na sio kwasababu hawajui ila ni wavivu wa kujishughulisha na mambo yao wenyewe...
Polepole anaendelea kulifungua Taifa polepole.
Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua...
Baada ya Polepole kutoa tuhuma nzito za mifumo ya uchaguzi kuingiliwa huku akitaka uchunguzi huru utaohusisha vyama vyote ufanyike ili umma ujiridhishe kama alichosema ni kweli au laa, nimejikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.