Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,741
- 92,197
Sabato Njema!
Polepole wakati anatembelea V8 alitamba sana tena kwa bahati mbaya kabisa alishindwa kujizuia akajirekodi na kujigamba na kuwaringishia Watanzania hawaijui V8.
Sasa amuache Samia na wenzake watembelee mipira, V8. Kulia kupokezana.
Kiburi sio mauungwana. Na kiburi ndioanguko leo lenyewe.
Kwa kumalizia; Serikali nawaomba Kabla ya tarehe 7 septemba mumuachie huyo mtu aitwaye Lisu. Kiburi Chenu kisiwe kikawashusha chini kama hao kina Polepole. Polepole mwenyewe hakuwahi kufikiri atakuwa mwanaharakati wa kupinga serikali aliyoitumikia.
Ni hayo tuu!
Sabato njema