Askofu Dkt. Isaac Kissiri Laiser wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Magharibi Kati Tabora, ametoa wito kwa Watanzania kusimama imara kutetea haki, akisisitiza kuwa...
Wazee wa Arusha kabla hawajapitishiwa bahasha walikuwa siliasi kuikataa CCM na uongozi wa Samia lakini sasa hivi sijui nini kimewapata, ule ujanja akilini hawana tena.
Wananchi wa kitanzania siku...
Mpaka sasa kuna kelele chungu nzima, za kumtaka Rais Kikwete apumzike. Mimi sioni kama ni sawa; naiangalia kama kitendo cha kuingilia uhuru binafsi wa mstaafu Kikwete, kama mtu binafsi. Hata yeye...
Hawa ni wagombea wa kiti Cha ubunge waliopitishwa na vyama vyao kugombea kuwakilisha Jimbo la kigoma mjini katika uchaguzi mkuu ujao wa uraisi,ubunge na udiwani utakao fanyika mwezi Oktoba mwaka...
Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, vyama vya siasa nchini Tanzania vimeweka mkazo mkubwa katika kuzungumzia maendeleo ya teknolojia ya kidigitali na nafasi ya akili mnemba (AI) katika kuchochea uchumi...
Msaanii wa muziki nchini Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo ameteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Tumekaribia, ng'ambo yetu ile paleee! Ushindi upo upande wetu
No reforms no election ina upepo wa Mungu wenye kisulisuli, unaangusha mibuyu na mibuyu
Ndani ya CCM, hivi punde watauimba huu...
Ndugu wana JF na jamii kwa ujumla sasa ni dhahiri kuwa hakuna jipya tena kwa hawa waganga njaa Gwajima na mwenzake polepole
Gwajima alitoa mkwara mzito kuwa baada ya siku kumi atakuja kuongea...
CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba...
Mi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazalendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo?
Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo...
CCM ya zamani ilikuwa inafuata yale waliyoandika ili yawaongoze katika utumishi wao ndani ya Chama na Serikali.
CCM ya zamani ilikuwa inaongozwa na Imani za Mwanachama. Hakuna mwanachama ambaye...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Rukwa katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
Habari za Asubuhi!
Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake.
Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo;
1. Pesa
2...
Wajinga ambao hutumia fake I'd , key body warriors ,
Wamekaa, wakisuburi Polepole, Gwajima na Lissu wawapambinie.
Ni ujinga mkubwa Sana huu.
Lissu aliwahi kusema hakuna kumuachia Mungu.
Katika kipindi cha uchaguzi mkuu, taarifa kuhusu wagombea husambaa kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii. Hata hivyo, si taarifa zote ni sahihi; nyingine huenezwa bila uhakika na mara nyingine...
Katika hali ya kushangaza kutoka vyanzo mbalimbali vinaonyesha kuwa tozo za abiria Viwanja Vya ndege Dola 45-90 zinakwenda mifukoni mwa watu mafisadi badala ya serikali, kampuni feki ya Samir...
Mzee Butiku akihojiwa na Fakhia Middle huko Butiama kwenye kipindi cha kipima joto mwanzoni mwa mwezi huu, pamoja na kukiri na kukubali kuwa
1. Hakuna haki,
2. Uteuzi wa mgombea wa CCM ulikiuka...
Katika hali ya kushangaza kutoka vyanzo mbalimbali vinaonyesha kuwa tozo za abiria Viwanja Vya ndege Dola 45-90 zinakwenda mifukoni mwa watu mafisadi badala ya serikali, kampuni feki ya Samir...
Taarifa za uongo zilizosambazwa mtandaoni hivi karibuni kuhusu kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa Vipepeo zimeibua gumzo kubwa baada ya Mstaafu wa Kyuba kutoa neno jana.
Kilichoshangaza wengi ni namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.