Jana Agosti 25, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Luhaga Joelson Mpina, akiambatana na Mgombea Mwenza wake, Bi. Fatma Fereji, walifika...
Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi...
Kama mwaka 1992 Serikali ya CCM ingewasikiliza wananchi walio wengi na kuendelea na mfumo wa chama kimoja huenda leo hii tungekuwa na siasa imara za ushindani na hata katiba mpya japo kwa...
Waliokuwa wanachama wa CHADEMA Kata ya Kinyerezi na baadae wakahamia Chaumma leo wametangaza kurudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee Sababu ya kuhama mifumo iliyopo kwenye chama CHAUMMA si ya...
Katika kila taifa, maelewano ni nguzo ya amani hasa pale panapokua na sauti kubwa inayohitaji mabadiliko. Lakini pale yanapokosekana, resistance huanza kupitia maandamano, mikutano ya hadhara...
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kondoa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Ashatu Kijaji, amesema anatambua kuwa bado ana deni kubwa kwa wananchi wa jimbo hilo na ameahidi kulilipa kwa kufanya...
ADV. STEPHEN BYABATO AMPIGIA CHAPUO KWA WANANCHI ENG. MUTASINGWA, UBUNGE BUKOBA MJINI
Salaam sana ndugu zangu
Naomba tusambaze ujumbe huu
Leo jumatatu ni siku ya tatu tangu Halmashauri Kuu ya...
Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini Flatei Gregory Massay amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Amekabidhiwa fomu hiyo na Msimamizi wa...
Kamanda wa zamani wa Jeshi la Magereza Tanzania,Mfanyabiashara na Kada wa Chama cha Mapinduzi Mh Baraka Mwamengo leo "anatinga" RASMI kuchukua fomu ya kuomba Uteuzi wa kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la...
Chama cha Mapinduzi (CCM), miongoni mwa vyama vikongwe zaidi barani Afrika, kinaendelea na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Tayari kimethibitisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan...
Wakuu
Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma.
Je hii kampuni...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhan, amesema Ilani ya CCM ya mwaka 2025/30 itaipeleka Dar kuwa kama New York, akisisitiza Vijana wamechagua...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackon, leo tarehe 25 Agosti 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya wananchi wa jimbo jipya la Uyole katika Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi kwa kuwachagua viongozi, ambapo amesema uchaguzi huo utakuwa huru, wa wazi na haki huku akitoa rai kwa Wananchi...
Imeandikwa na Dr Calipso, X
HII INAFANYIKAJE
. Kwenye mfumo kuna kitu kinaitwa query, unaicommand query in run ikuvutie taarifa Fulani muhimu then unaweza kuzi intergrate na mifumo mingine...
Wakuu!
Tunapoelekea kwenye uchaguzi, kumekuwa na harakati nyingi za kisiasa ambapo wagombea wanachuana vikali. Mara nyingine wananchi wamekuwa wakiwapinga au kuwakataa baadhi ya wagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.