Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa...
Hii hapa Orodha ya Majina ya Wagombea Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Mbeya
1.Patrick Mwalunenge - Mbeya Mjini
2.Patali Shida Patali- Mbeya Vijijini
3.Dkt.Tulia Ackson - Uyole
4.Bahati Keneth...
Ikiwa uchaguzi ni kitu kikubwa katika Nchi na madhara yake yanaweza kuwa Mbaya Sana kama tukikosea, sasa tulisikia Mahakamani kwamba vitendo vya kuweka vikwazo Kwa Vyama vya upinzani Mwaka wa...
Siku Chache Baada ya Kuteuliwa Na Ccm Kugombea Ubunge katika Jimbo la Uyole, Dkt Tulia Ackson Leo amechukua Fomu ya Kuomba kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa Ya Uchaguzi katika Jimbo Hilo
Akihutubia...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Patrick Mwalunenge Amechukua rasmi fomu ya Kuomba kuteuliwa na tume huru ya Taifa Ya uchaguzi kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm...
Umy tulia dada yangu, CCM ina kazi nyingi sana. CCM ni serikali ndani ya serikali, ina macho na masikio mengi na mikono mingi sana. Sema kweli kama hukutoa chochote kwa wajumbe hawa...
1. Nguvu ya Umma haitakuwepo any time soon. Tu waoga sana wa kufa. Ndiyo maana tunatumia fake IDs
2. Walio kazini serikalini na vinafasi vizuri wanaogopa kupoteza ugali wao....wananyamaza na...
Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS
Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jjijini Dar es Saam rais wa TLS Chama cha Wanasheria (Tanganyika Law Society ) Wakili Mwabukusi amesema kuwa kuna maeneo 7 critical na 6 niya muhimu sana...
IWE MVUA IWE JUA, FOMU YA UBUNGE YACHUKULIWA JIMBO LA VUNJO.
Maelfu ya wananchi wa Jimbo la Vunjo wamejitokeza kwa wingi kushuhudia tukio la kihistoria la Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha...
Historia imeandikwa, Revocatus Chiponda (Baba Levo aka Chawa Pro Max), amezipiga bao husda na hila za Maalhaji wa Ujiji!
Kwanini namkubali Baba Levo? au ni kwanini anakubalika na wanakigoma...
Sina uhakika kama uteuzi wa Rose Migiro unakusudia nini? kuimarisha safu? kubadilisha sura na taswira ya chama kimataifa? kuvutia na ushawishi kwa akina mama? au kuboresha kikundi mtandao...
Ndivyo ilivyo na msio ukweli , CCM haiwezi tena kuikomboa hii nchi na kuipeleka kwenye maendeleo ya kweli yanayo lingana na rasilimali zilizopo na sasa ndio kabisaa imesha jiingiza kwenye tope...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi aemesema Uchaguzi wa Mwaka huu umekuwa na changamoto na hii inatokana na yaliyojiri wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Wakuu habari,
Nimegundua tu CCM wana akili sana na wanawaza kimkakati zaidi
Tunaweza kuona chawa hafai kuwa kiongozi, lakini wao wametumia ushawishi wa uchawa katika siasa na kuangalia wingi wa...
Akizungumza Jumapili Agosti 24, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole alipendekeza kuwepo kwa sheria ya kuwawajibisha viongozi kwa matendo wanayofanya wawapo madarakani.
Je...
Wilayani Tanga, hali ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefikia kiwango cha juu cha mvutano baada ya wanachama wa chama hicho kuandamana kwa umakini na kutangaza kurejesha kadi zao za uanachama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.