Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je Mahakama inaweza kutoa uamuzi kama ule ilioutoa dhidi ya Chadema wa kuzuia matumizi ya mali za chama? Je Msajili nae anaweza kumuengua Mgombea wa CCM kujibu barua ya pingamizi iliyoandikwa na...
1 Reactions
8 Replies
479 Views
Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo. Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada. Ndo maana...
0 Reactions
3 Replies
264 Views
Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi. Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu. So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli...
19 Reactions
81 Replies
6K Views
Ni hapa hapa unganeni na Chadema kudai Reforms. Mnakumbuka kada mmoja wa CCM aliandika barua ya kulalamika kwamba Samia Hana sifa ya kugombea akapuuzwa na msajili Hadi akafungua kesi mahakamani...
0 Reactions
1 Replies
630 Views
Matambiko yafanyike ameshauri Mzee Mabala Lug'wecha. Matambiko yaliotumika kumlinda Mwanamalundi yamlinde pia Luhaga Mpina Naona CCM wameanza kuogopa. Naamanisha CCM ya wahuni Nipo Chato
2 Reactions
4 Replies
602 Views
Political legitimacy is the belief by a population that a government or political institution has the right to rule and that its authority is rightful and justified, not just based on force...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama unabisha Fanya Utafiti kidogo Kibaki, Uhuru na sasa Ruto walikuwa chama gani Raila Odinga je? Kwahiyo ni kawaida sana hata CCM ikiwa na Project zake kisiasa kwani Siasa ni Sayansi Mlale...
0 Reactions
4 Replies
267 Views
Wakati huo Watanzania halisi wamechoka wamechakaa , huko mikoani umaskini ni wa kutisha bora hata Dar
0 Reactions
2 Replies
249 Views
Kama LISSU angeamua kua kama Mbowe akakiingiza Chama kwenye huu upuuzi wao ambao hautafanyika bila Reforms, hizi siku za Kurejesha Fomu ingekua ni vita, Wagombea Upinzani wangefanyiwa hila za...
9 Reactions
14 Replies
977 Views
  • Poll Poll
ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania. Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki...
1 Reactions
9 Replies
732 Views
Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa mbogamboga analeta blablaa za kuifanqnishq Tanzania na Congo sjui Malawi na wapi sjui .... yani nasema hivi Tanzania inapaswa kuwa vile #Tanzania ilipaswa kuwa vile...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Kiongozi huyu , VAR, ya vyama vya kisiasa ya mnasa mgombea urais chama cha ICT , kanda wachama hicho ikiandiii imekosa vigezo vya kuwa mgombea urais wa chama hicho kama katiba yao ya chama...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Mwenezi ACT alitoa vifungu vinavyoonesha kuwa hana vigezo vya kugombe urahisi. Katika katiba ya ACT vifungu vifuatavyo vinamuengua 16(4)(I) Awe mwanachama wa ACT kwa muda usiopungua mwezi mmoja...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Hata aibu hawana! Kumbe yalikuwa manyangau! Labda CCM watamuachia. Time will tell!
2 Reactions
10 Replies
788 Views
Kukatwa kwa Luhaga Mpina ni kuionyesha dunia kwamba ACT si projekti ya CCM. Na pia kuonyesha kwamba POLEPOLE anaongea uongo. KWA WENYE UFAHAMU IKO HIVI KWA KIFUPI KABISA. Mpina aliandaliwa na...
4 Reactions
3 Replies
721 Views
Kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 34(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 20(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Huko zamani. Mbwa alikuwa anamfukuza Paka. Na Paka anamfukuza Panya. Uadui huo ulikuwa kila mtu anauona kiuhalisia na kwa vitendo. Nadhan ni kwasababu ya chakula/posho waliyokuwa wanapata. Au...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema, "Hatukatai kwamba kulikuwa na mabadiliko, mabadiliko yamefanyika ya Kisheria kwenye Sheria za uchaguzi, lakini tuwe wa kweli unapobadilisha unataka kutibu...
3 Reactions
5 Replies
845 Views
Back
Top Bottom