Chief Mwigendya
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 228
- 201
Katika hali ya kushangaza kutoka vyanzo mbalimbali vinaonyesha kuwa tozo za abiria Viwanja Vya ndege Dola 45-90 zinakwenda mifukoni mwa watu mafisadi badala ya serikali, kampuni feki ya Samir ilikabidhiwa tenda hiyo Arusha siku ya wanawake duniani, mpaka hakuna senti iliyoingia serikalini, n.b Abdul ni kulwa na Samir ni Doto japo ni muhindi kachikua nafasi ya Saidi Lugumi , watanzania endeleeni kulala mpaka nchi ifilisike .