RAIS SAMIA HASSAN KUONGEA NA TAIFA KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE 27 AGOSTI 2025
Mh. Samia Suluhu Hassan kesho atazungumza na wazee pamoja na wakuu wa mikoa wote, mheshimiwa rais amebainisha jambo...
Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amesema kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi mikutano yote ya hadhara katika mkoa huo imewekwa wazi katika viwanja na tarehe za...
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM...
Nje ya mada: Katika waliopiga kura za maoni ndani ya CCM kumteua mgombea Gwajima alikuwa miongoni mwao naye alimpa kura Rais Samia.
Maana Samia alipata 100%
Gwajima na wajumbe wengine hakuna...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Pangani ambaye pia ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025...
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa juu ya uamuzi wake wa kutengua ugombea wa Ndugu Luhaga Joelson Mpina kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Monalisa Ndala amepinga uamuzi wa chama hicho, kumteua Luhaga Mpina kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, akidai amekosa sifa.
Kada...
Hellow!
Utapingana na Mimi kama hujawahi simama Katika umma wa wananchi kama kiongozi, ila utakubaliana nami kuwa Katika halaiki yoyote, kelele za umati wa watu kushangilia au kuzomea zina nguvu...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni urithi wa kihistoria na kisiasa wa Tanzania, lakini pia ni somo la uthabiti barani Afrika. Kimekuwa chama pekee cha ukombozi ambacho hadi leo bado kinaendelea kushika...
Ni muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
Pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au Bonge nae...
Taarifa yao kwa Umma hii hapa
NB: Sikuandika ya Mmiliki wa Ghorofa kwa sababu muda na aina ya Matukio hayo ni tofauti
Pia soma
Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema...
Wakuu,
Tayari Katibu mpya wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Kenani Kihongosi ameanza kufanya kazi
-----------
Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kuanza kampeni za kuwania nafasi ya Urais...
Kwanza kabisa Video hii tukiiangalia kwa jicho la uchambuzi na kiudadisi kuna vitu vinatia wasiwasi, pengine tukio hilo limetengenezwa kimkakati kwa ajili ya masrahi ya watu flani.
Aina mtu...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ametaja maazimio matano ya chama hicho, akisema wataandika barua kwa jumuiya za kimataifa wakiziomba zitume waangalizi kuja kukagua mifumo ya uchaguzi...
Huyu jamaa bwana Amos Makala ndiye aliyekuwa mastermind wa ujenzi wa project ya CHAUMMA. Pia ndiye aliyeratibu Lissu afunguliwe uhaini.
Hakuishia hapo. Pia Project ya kuengua viongozi wa Chadema...
Iweje familia za wanaCCM wachache tu zinufaike na rasilimali za nchi hii kupitia makaa ya mawe?
Huko Urusi na dunia nzima haya yasingewezekana
Watanzania tuache tofauti zetu. Maandamano...
Hii ni kashfa kubwa na ya kipekee kwa uongozi mzima wa ACT-Wazalendo kitaifa, hasa katika kipindi hiki nyeti kuelekea Uchaguzi Mkuu wa kihistoria wa Tanzania.
Swali la msingi ni: kweli viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.