Za chini chini ni waliwaweka wapima upepo wa uzinduzi wakaona hakuna mwenye mda nao wala kuongelea plan ikawekwa
Chaap option ikaingia ni wanayemtumiaga kila siku sababu anapenda sana pesa
Kutega upepo wa mrengo wa kushoto wakamuona yule yule mtu wao akapewa dau na media coverage script mjomba akaibuka
Mara paap kweli kikaitika Wanaojiita chama kikuu wakaingia kwenye mfumo, wafuasi wao nao wakalipuka kwa makasiriko kitu kikaitika
Uzinduzi ukamake headlines
Chezea wewe😂😂
NB: Headlines leo sio zinduzi ni yeye